genltesoul
Member
- Dec 27, 2012
- 30
- 8
Hope hamujambo sana
mimi wananiita bonge nina uzito wa kg 97 lakini my ideal wt kitaalamu ni kg 65 nilianza shida hizi baada ya uzazi miaka mitano nyuma nimeshindwa kabisa kurudi kwa uzito wangu wa mwanzo.....nimefanya mazoezi..nimechemsha sababu spidi ya njaa inakuwa kubwa nimejinyima sana naambulia ulcers ss jitihada naona zinaelekea ukingoni huku nikiumwa sana na miguu na kiuno.....kwa aina ya professional yangu(mi ni banker)naomba nisaidiwe namna ya kuwa na uzito wenye afya......