wale wa TANGA Kunani

wale wa TANGA Kunani

Kapuyanga Tanga ni mkoa wenye makabila ya bara na ya pwani,ndio mana kuna matamshi tofauti
 
Tanga kalale SAHARE maeneo ya kwa BABA UBAYA, kwa msosi na drinks nenda Nyinda Bar & Restaurant, kwa night out nenda LA CASSA CHIKA club au kwa live band nenda NYUMBANI LOUNGE. w
 
mapango ya amboni,pangani kuna beaches nzuri sana.. watu8 njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Tanga kalale SAHARE maeneo ya kwa BABA UBAYA, kwa msosi na drinks nenda Nyinda Bar & Restaurant, kwa night out nenda LA CASSA CHIKA club au kwa live band nenda NYUMBANI LOUNGE. w

Enzi za limbachia ndio zilikuwa zenyewe.
 
Tanga kalale SAHARE maeneo ya kwa BABA UBAYA, kwa msosi na drinks nenda Nyinda Bar & Restaurant, kwa night out nenda LA CASSA CHIKA club au kwa live band nenda NYUMBANI LOUNGE. w

Hamia Tanga m baba....unavyojua kuelekezaa
 
Haha! mpenzi naona wewe, Arushaone na wengine mshataja sehemu zote nzuri kwa huyu Mnyakyusa kutembelea...

Ila kule Pangani mbali sana na barabara yake mbovu ya kufika huko...

Yan hiv ndo nataka nichomoke nianze ku explore mji wa Tanga. Huko pangani naweza fika next time.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom