Recent content by General mex

 1. General mex

  Jumba bovu linaweza kumuangukia mtu yeyote

  Sio kila mtu anaweza kuwa na uelewa wa masuala yote, unaweza kufanya jambo kwa nje likaonekana zuri sana ila kwa ndani kumbe lina shida kubwa. Unaweza kufanya jambo lenye matokeo chanya au hasi kwa siku za usoni ila kumbe kwa siku za baadae likawa na matokeo tofauti. nitajikita kwenye kutoa...
 2. General mex

  Mjadala: Mabasi ya mwendo kasi UDART yachunguzwe yatakuja kusababisha mauaji ya kimbari

  Pamoja na hoja ya injini kuwa nyuma, lazima pia tuangalie utendaji wa haya mabasi. Hata iwe brand gani kwa ujazaji huu unaofanyika mashine inafanya kazi mara nne ya uwezo wake, hakuna namna yataacha kuungua. Ni suala la muda tuu, hata ulete scania au kitu gani haita perform. Hata kama ni gari...
 3. General mex

  Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

  Mkuu wametoa kwenye ubao wao wa ubalozi kwa kupitia mitandao ya kijamii. Inatakiwa uelewe kua mitandao ile unaifatilia kwa hiari,, na hata wao walitegemea raia wa marekani ndio wafikiwe na huo ujumbe ila kama kuna sisi waswahili tunafatilia pia kurasa zao hizo ndio tumeipata pia. Hawajachapisha...
 4. General mex

  Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

  Hahaah wivu utakuua mkuu,, sema watu walikua wanatamani kuona vita kwa sababu wamechoka kuhadithiwa vita vya zamani wakatamani kuona vita. Ila ni sawa utabaki na uelewa wako ila uelewe tu kwamba kama ni shambulio la kigaidi au ambalo linahatarisha maisha yao, likiingia tu kwenye utandawazi kwa...
 5. General mex

  Loan Board; Makato yamefanyika lakini deni halijapungua hata senti!!

  Nataka tuu kufahamu nani anayetoa sallary slip na ni system gani inayorekodi kua makato haya yamefanyika na deni au madeni yamebakia kiasi hiki. Wakati mwingine tutamlaumu mtu au watu wasiohusika. Nadhani kinachoonekana ni kwa watumishi wa serikali ambao system inayotumika kutoa sallary slip...
 6. General mex

  Kwa Ukata Huu Turudi Kwenye Barter System

  Mtoa mada uko sahihi kabisa, nimeshuhudia kijiji kimoja hivi sikitaji jina watu wanaenda sokoni kuuza bidhaa wanaambulia patupu inabidi wabadilishane. Ukitoa noti ya elfu kumi ni balaa watu wanashangaa ni wapi imetoka na mtatafuta chenchi muda mrefu sana. Kuna haja ya monetary policy...
 7. General mex

  Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

  Umejitahidi kuandika sana ila nasikitika umeandika pumba, kumbuka lengo lao kubwa ni kuwanusuru wamarekani wenzao endapo kukitokea tatizo. Ila ni kujiongeza tu kua wamesema hawana ushahidi ila hiyo ni akili tu kiukweli nchi yenye intelijensia kama marekani tayari ushahidi wanao ni kwamba...
 8. General mex

  Usafiri wa Umma Dar: Nafasi ya wanasiasa na watendaji

  Barikiwa sana, umeongea kilichokua akilini mwangu. Jana asubuhi nilishuhudia wakazi wa jiji la Dar wakigombania daladala, inasikitisha sana. Hali ni mbaya sana ni bora kuwepo hata njia za watembea kwa miguu watu watembee kuliko kinachotokea. Waandishi wa habari wanaweza kusaidia kwenye hili...
 9. General mex

  2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

  Aaaah wapi akili kubwa sana ile, labda kama serikali iliamua kuendelea kumsakama na kumzuia kufanya shughuli zozote za kiuchumi.
 10. General mex

  2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

  Nilichojifunza kwenye wengi poana mengi. Wewe unaweza ukawa unafikiri kua lengo lenu ni moja ila kumbe miongoni mwenu kuna watu wana maelngo tofauti kabisa na maovu. Kusema kweli mgomo wa 2011 ulikua wa mwisho na sidhani kama itakaa kutokea mgomo mwingine tena kwenye vyuo vikuu. Vijana...
 11. General mex

  2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

  Ilikua hivi, mwaka wa kwanza 2011, walipangiwa chuo wengi wao wakikosa mikopo. Kwa hiyo baada ya muda wengine wakaanza kuacha masomo kwa ugumu wa maisha na kushindwa kulipa ada. Wakati huo wote kulikua kikundi cha watu wachache waliokua wanajiita ama kuitwa wanaharakati, muda wote walikua...
 12. General mex

  2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

  Huyo huyo Ndunguru akafika revolution square pale, akaanza kutema hoja baada ya muda watu wakajaa, jamaa yuko peku peku anaongea balaa. Kilichokua kinasisimua zaidi ni hoja zilivyokua zinatolewa. Baada ya Ndunguru na wengine kukamatwa sasa ndio chuma Alshabab kilipoamka sasa,, akaanza peke yake...
 13. General mex

  2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

  Aiseee Ndunguru alikua mbishi kwelikweli alianza kuandamana peke yake akiwa peku,, daaah Tanzania kuna watu walikua na mioyo ya kipekee sana,, imagine alikua na mkopo na alikua mwaka wa tatu anamaliza lakini alishindwa kukaa kimya mwanafunzi wa mwaka wa kwanza alipokosa mkopo. Halafu akaja funga...
 14. General mex

  Barua ya wazi kwa JPM- Sheria ya Bodi ya Mikopo ya mwaka 2016

  nimeanza kulipa mkopo tangu ikiwa 8% sijui 6% na hata ilipokua 15% nimeendelea kulipa, sijaona unachokisema mkuu. labda kuna baadhi ya watu wanafanyiwa hivyo ila sina uhakika. ila kwa mwendo huo mambo yangekua magumu sana. kila mtu angeona hicho kitu ila sijaona bado wacha muda utaongea zaidi.
 15. General mex

  Barua ya wazi kwa JPM- Sheria ya Bodi ya Mikopo ya mwaka 2016

  nimekluelewa unapodai kua kuna asilimia 6% za kuongezeka kwa deni kila mwaka kitu amacho sio sahihi hata kidogo, na hata mdau mwingine amekuelewesha kua baada ya kuanza kulipa hakuna extra costs nyingine kama umeshaambiwa deni lako ni milion 16 ndio hizo utakazolipa kwa kipindi hicho. sasa hoja...
Top Bottom