Recent content by General Agents

  1. General Agents

    Wenye Viwanda vya Sukari, Mshukuruni na kumuombea Mh.Magufuli

    mkuu badala ya kuwaza viwanda vya nguo vijengwe ili wakulima wetu wauze pamba humo bado unawaza kupeleka pamba njee tu... ?? ishu ya sukari ulikuwa mradi wa wafanyabiashara wachache. ngoja nikudokolee kidogo. Sukari ikitoka kiwandani inapewa distributors na hawa ndo walikuwa wanasababisha bei...
  2. General Agents

    Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa awasimamisha na kuwastaafisha kazi watendaji watatu wa TCRA

    TBA wanajenga mjengo yasiyo na mvuto, ya kizamani sana. kwa mfano jengo lao jipya opp. na TEMESA Arusha, pia kuna lingine karbu na office za migration Arusha. Ramani mbovu, please CAG ayachunguze tujue ukwel.
  3. General Agents

    ATCL na NASACO zifufuliwe kwa faida ya Tanzania

    ATCL ikileta ndege itahimili ushindani uliopo?? kumbuka safari za nje zmepunguzwa sana hadi Emirates wamepunguza ndege moja iliyokuwa inaserve Tanzania. cha msingi tuangalie kwanza soko, kama demand ipo then ndo ATCL ifufuliwe. vinginevyo itakuwa "white elephant" tu.
  4. General Agents

    Usafiri wa Arusha, Mabasi Luxury (First Class)

    Mkuu upo karne ya ngapi? Dar ex press na Kilimanjaro gari zao nyingi znazaid ya miaka nane njiani... kwa nini upande vtu chakavu wakati kuna magari mapya masafi na unasafir kwa luxury vizuri. naonaga wanaopanda dar ex press kuwa ni washamba wa mabus, hawajui kuwa kuna mabus mazuri zaid.
  5. General Agents

    Usafiri wa Arusha, Mabasi Luxury (First Class)

    ubaya wa dar express ana magari mengi ya zamani yanaanza namba C unakuta yamechoka sana. panda Tahmeed au Modern au Happy Nation hizi mpya namba inayianza na DG... ukikosa kabisa panda bus lolote jpya kuanzia namba DF.... ukioata DG ni bora zaid.. achana kabisa kupanda mabus yanayoanza na...
  6. General Agents

    Nguzo za Zitto Kabwe zimeisha, tumuombee

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa gani tena vile??? ila aliwazd akili akawajoin wakamsafisha akawa kama theluji.
  7. General Agents

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    KUMTEUA DK MIGIRO BALOZI, MAGUFULI HUTUTANII KWELI? NA LUQMAN MALOTO NASUBIRI kauli kwamba uteuzi wa Dk. Asha-Rose Migiro kuwa balozi ilikuwa utani. Naingoja kwa hamu kubwa. Dk. Migiro awe balozi? Huyuhuyu mama yetu? Ni taarifa za kweli hizi? Mama na wewe umekubali? Dk. John Pombe Magufuli...
  8. General Agents

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Mkuu umepewa ya EFD au ni hizi za kawaida za kuandika??
  9. General Agents

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Oil Com top ten katika kulipa kodi??? hebu tuhakikishie mkuu...
  10. General Agents

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    makampuni mengi hayataki kulist DSE maana kulist ni voluntary.
  11. General Agents

    Leo Katika Historia, Wajue AUTODIDACTS 10: Watu ambao waliacha/walikimbia shule au hawakwenda kabisa

    Mkuu na wewe kama unasoma jaribu kuacha shule.... kama hatujakukuta unauza genge...[emoji23] [emoji23]
  12. General Agents

    Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    Huyu Chahali alikuwa analalamika sana kuwa usalama wa taifa wanamduatilia... hadi nikawa nahisi naue alikuwa usalama akaasi na kulowea huko Scotland.
  13. General Agents

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Na ya Mchechu itakuwa hivyo hivyo, tuvute subra.
  14. General Agents

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Dr. Dau imekuwa promotion kwake sasa...
Back
Top Bottom