Magufuli Kiboko, Nigeria ni habari nyingine

Nimeanzia ya buhari na budget yake kwanza.....duh

Nadhani JPM can use the advice from Adeola....please dont change endelea hivyo hivyo!!
 
So hilarious but true, sisi tukianza kuuliza masuala ya awamu ya tano tunaonekana ''tunapiga vita'' wakati ni kuwa tunajaribu kuwaeleza viongozi wetu tunahoji ili masuala mazuri ya awamu ya tano yaende vizuri zaidi.
 
Hapo wachunga mbuzi ,Ooops ng'ombe na wale wavuna karafuu wamenuna utadhani wamekula shubiri,na mwenye wivu akale ndimu au malimaoooo,Magu habari nyingine,baada ya uchaguzi wa Zanzibar kitakachobaki ni kuwanyorosha ''wanao uota uraisi''
 
Kuna watu ambao wanakwambia nchi hii inahitaji rais asiye mkali, yaani mpole atakayechekea mambo ya kipuuzi. Wanigeria pamoja na umaarufu na ukubwa wa Taifa lao bado wanamchukulia Rais wetu kama mwalimu wao katika suala la leadership, wanautumia utendaji wa rais wetu ndani ya siku 100, katika kumfikishia ujumbe mzito rais wao ili aweze kuibadilisha nchi yao. Katika wagombea wote waliotaka kuiongoza nchi katika awamu ya tano, hakuna hata mmoja anayefikia angalau robo tu ya uwezo wa JPM. Lakini maneno matakatifu yanatuambia kwamba nabii huwa hapendwi kwao.
 
Back
Top Bottom