Kwanza thread haina content nzuri mwandishi unasema mbunge kanunua TV wilaya nzima kumbe tv Moja tu.
Pili Kuna baadhi ya siasa ukifanya zinaonyesha ni jinsi gani unawadharau wananchi wako
Tatu kijiwe Cha kawaha ni kwa ajili ya kuongea mambo ya kiutamaduni na kijamii sio kijiwe Cha TV kwa...
Wakuuu Asanteni sana kwa mawazo yenu yote
Leo ngoja niwape mrejesho kwenye maamuzi niliyofikia
Tulikaa kikao na mke wangu kwa ajili ya kufanya maridhoani. Nankukumbushana wajibu wetu katika familia.
Tulikaa kama wiki tatu tu then nikagundua ana urafiki wa Karibu sana na rafiki yangu wa...
Habari jf
Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari
Amekuwa na wivu sana kuhusu Mimi lakini kwangu sio shida maana ilikuwa hainipi shida lakini baadae alianza hadi kutuma boda boda...
Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada
Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa...
ASANTENI sana kwa ushauri mazuri sana niliopata. Nimekili kuwa huyu mwanamke ananitaka ila simtaki. Then nikafanya Usanii wa kutoa machozi kibaharia (kama movie za kiphilipino)
Wife alinionea huruma sana na akajuta kwanini amenionea kwenye kosa ambalo sikufanya.
Nilichojifunza ni kwamba...
Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza.
Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi?
pia soma:
Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.