genau
Member
- Jan 11, 2018
- 36
- 54
Mie saiz nadate na walioachika,hawana maswali ya kipuuzi kama hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unakuta kuna mtu kaona unampotezea muda anataka kumbeba jumla kama unampenda mwambie lililoko moyoni mwako
Mie saiz nadate na walioachika,hawana maswali ya kipuuzi kama hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu mm ni ke naelewa vizuri naongea kwa niaba yakeMaybe, but sidhan
Sent from my iPhone using JamiiForums




Sasa unakuwa na malengo nae kivipi wakati ktk phone book yako una mademu zaidi ya mia na wote unawataka uwakae hapo ni ana ana doo, atakayekuwa wa kwanza kuelekea kibla ndo unakuta sio chaguo lako la kwanza ila kwakuwa ni wakwanza kuingia chocho una pretend tu, nahisi hata kwako ni hivyo wewe bado hujui unachohitaji, ila kifupi hakuna mkamilifu, acha kumpotezea muda huyo binti.


Hata wana saikolojia wanasema 75% ya maswali anayouliza mwanamke anakuwa na majibu tayari,hivyo ni bora kumuambia ukweli mapema itasaidia kuliko kudanganya.Linahitaji utulivu wa akili kuliuliza maana mara nyingi muulizaji ni ngumu sana kusahau majibu utayotoa sasa ukikurupuka kuna siku utaumbuka.
Wanawake wa aina hii wanajua wanachouliza na wanajua wanachofanya au wana washauri wazuri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wana saikolojia wanasema 75% ya maswali anayouliza mwanamke anakuwa na majibu tayari,hivyo ni bora kumuambia ukweli mapema itasaidia kuliko kudanganya.
Anataka kusikia kutoka kwako lkn pia hicho ni kipimo/mtego.Itakuwa kama reference badaeEti so kma anamajib anauliza nn sasa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata Biblia inasema"Mungu anazijua haja za mioyo yetu hata kabla hatujamuomba"Anataka kusikia kutoka kwako lkn pia hicho ni kipimo/mtego.Itakuwa kama reference badae
Hata wana saikolojia wanasema 75% ya maswali anayouliza mwanamke anakuwa na majibu tayari,hivyo ni bora kumuambia ukweli mapema itasaidia kuliko kudanganya.
Anataka kusikia kutoka kwako lkn pia hicho ni kipimo/mtego.Itakuwa kama reference badae