Mke wangu kanikimbia

Mkuu siku akikimbia na wewe mkimbize uone kama hachoki unafanya kukamata na kuweka ndani
 
Nimeishia hapo eti ukafanya maamuzi ya kumpa ujauzito, wewe ndo mwenye kuamua kuhusu ujauzito.!
 
Eti mke kakukimbia wakati huo tayari amesharudi kukupigia magoti, kukimbiwa unakujua unakusikia..!

Namwonea huruma sana huyo unayemuita mke.
 
Umri wake unaruhusu, age hiyo sidhani kuwa anajua hata umuhimu wa ndoa...ni umri wa ndoto bado, kama amepita shule basi ni umri wa kua chuo, sasa binti wa chuo na ndoa wapi na wapi....

Kama bado unamuhitaji inabidi uishi nae kama binti yako.
 
Binti yake wakati anamkaza?
 
vile nimesona hii mada na kile nimeona kaa mtaalamu wa mambo mengi, wewe muleta mada ndio hujakomaa akili, i mean you are still very immature, it takes a smart and a wise man less than 3 weeks to make a decision if this is the right lady to be with,but from your narration of events both you and your lady are still not in a postion to make proper decisions abaut life, if you see a lady who always want to check your phone, a lady who feels insecure coz you have more money or earnings than her, then you are wasting time with her, bro, be mature and look for a mature lady, all the best sir
 
kwanza kabisa lazima ujue status yako kwamba wewe ni mwanaume unaejiweza..

huko kujiweza kwako ndo kunaleta matatizo kwenye familia.. kivipi? ok ni hivi...

shemeji anapenda kukagua simu yako coz anahisi unachepuka.. na wanaume wengi waaojiweza huwa wanachepuka

shemeji anakasirika usipomtimizia jambo alilokuomba coz anaamini uwezo huo unao ila unaamua tu so kwake anaona kama unamfanyia makusudi.

umechelewa kwenda kumchukua shemeji coz ulikua unakunywa bia na washkaji.. hili linaweza lisiwe tatizo ila kwa sababu tayari mmeshakua na matatizo mengine ya kila siku, hili nalo limeonekana ni tatizo.

NINI CHA KUFANYA..

em jaribu kushare password yako na shemeji, jaribu kumtimizia anachokuomba, jaribu kwenda kama anavyotaka yeye uone mambo yatakuaje..

kumbuka nimesema hili ni jaribio, unaweza ukalifanya japo kwa wiki mbili ilimradi tu uone kama hapo nyumbani maisha yatabadilika.

kwenye kila tatizo linalokukabili na linalojirudiarudia katika maisha yako, ukitaka mabadiliko na ukitaka matokeo ya tofauti basi jaribu kufanya kitu cha tofauti.

kila baada ya muda unaumwa malaria na hauchomi dawa wala hulali ndani ya chandarua halafu unanung'unika kwa kuumwa malaria.. hilo ni tatizo

matatizo yenu ya ndoa ni kama malaria tu na solution nilokupa ndo kama chandarua.
livike penzi chandarua. lichomee dawa ya mbu uone kama mtapata tena malaria.

Y = mx + b

hii formula naiita formula ya kuendesha maisha.

usipopendezwa na value ya Y, jaribu kuweka value ya tofauti kwenye X.

change the way you treat your wife and your wife will change the way she treats you.
 
Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada
Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa mahari

Kipindi chote cha mahusiano yake alikiwa insecure sana na haya mahuano kwa sababu namzidi miaka kama mitano pia na kipato. So ugomvi wetu mkubwa ulikuwa ni simu yangu. Kila mara alikiwa ananivizia kujua password za simu yangu ili kujua kinachoendelea kwenye simu yangu. Japo nilikuwa najitahidi sanaa kubadili nywira.
Kila.alipokua akikuta kitu chochote alikiwa anaondoka kwangu na kudai kaniacha.

Pia ni mwanamke ambae nisipomtimizia mahitaji yake alikuwa anakuwa na hasira sanaa akihisi ninahonga na yeya namuacha kando.

Nikafanya maamuzi ya kumpa ujauzito nikihisi ataamini kama ni wangu na atapunguza wenge. Na ataaacha utoto wa kuwa na gubu.

Ila kiukweli ilikua ni kama nimechochea moto wa gas yaaani imekua ni mara dufu. Yaaani ilifika pahala hataki niende polote kila ninapotoka kazini hata marafiki akataka kunichagulia. Wivu uliopitiliza na unaokera. Mara zote alikua anachotaka nisipomtimizia anatishia kuondoka hata kama ni kidogo.

Ilifika pahala nikachoka so last weekend alikuaa chuo anajiandaa na mitihani kama ilivyokuwa ada nilikuwa namfata chuoni usiku. So that moment nilichelewa kwa sababu nilikua nakula bia na rafiki zangu.

Huwezi amini mama watoto alimind balaaa then akachukua boda akarudi home. Mie nilifika home kama dakika 20 nyuma yake nikapiga honi hakufungua, kwa kuwa geti lilikuwa halijafungwa. Nikazima gari nimaenda kufungua nikapak gari kipembe kikaja kuingia ndani. Akakataa kabisaa kufungua. So ikabidi nizuge naenda kulala gest ndo ikabidi anipigie simu. Nilivyorudi akanirushia funguo kupiti dirishani.
Nilivyofika chumbani akawa kafunga mlango so ikabidi nilale chumba cha wageni
Next day ilikuaa j'mos aliamka kanuna,mie kama kawaida nikamuuliza kama anaenda chuo then nimamleka

Jumapili akanandikia sms ndefu kama kachoka na maudhi yangu so alikuwa anahitaji break. Mie nilipuzia kwa vile nilikuaa kazini. Huwezi amini allipiga simu nyingi sanaa akiwa anaomba nimjibu japo sikupokea.

Nilivyorudi home usiku akaniuliza nimefanya maamuzi gani then nikamwambia nimeridhia aondoke akasema jumatatu anaondoka, so jumatatu akawapeleka mtoto na dada wa kazi kwa bibi yake kwa maana ni distance fupi then jioni akaniaga kwa sms

Haikupita hata masaa matatu akaniandikia sms ndefu kama anataka kurudi home sikumjibu akapiga simu nikamwambia no.

Baada ya hapo alikuwa anapiga simu mara kwa mara ikabidi nimblock ili kuondoa usumbufu. Jumatano mida ya saa tano asubuhi nkapigiwa na namba ngeni anajitambulisha then akasema anataka kuchukua barua ya field then ikabidi niende home kumfungulia.
Nafika home namkuta yeye binti wa kazi na mtoto.

Akasema mama yake kamfukuza mie sikujali nikamwambia akimaliza aweke funguo sehem tunayoijua baada kama ya saa mbili mama yake akanisms kwamba anahitaji tuonane. Nikamjibu nimebanwa sanaa kazini kwa sananj sikuona kama ni sawa kuongea nae kuhusu sisi
Jioni nimawakuta home. Nilikuwa tayari
Nikaenda chumba cha wageni kulala. Akaja kunuomba msamaha sanaaaaa ila sikutaka kuongea lolote nikalala.

Leo nimeamka nimaenda job hadi saiz sijaenda home kwa sababu kawa msumfu nishaurini niconclude vipi hili.......
Watu wenye gubu n noma nlimpata mmoja nkashindwa maana alkua akianza kuongea nalala nashtuka hta after 2hrs bado anaongea anhc skulala nkaona nooooo nkapga chini
 
Hizi drama ndo zinazotengeneza mapenzi.. mkeo bado hana imani na ww, au anajazwa maneno mengii so anakupima, anamambo ya kitoto, mpelekee faya, mpaka ugoro aite ugolo, peleka moto mpaka unuse harufu ya mishikaki ya nundu, usimwache namwombea msamaha bro!
Hadi hapo tu wewe ni mwanaume wa shoka,

Hujaribiwi.Nimekupenda haswaa.
Umenikosha.

NI MWIKO MWANAMKE HATA MGOMBANE VIPI AKIMBILIE KWAO.

HATA KAMA ANGEKUFUMANIA BADO HABA RUHUSA YA KUKIMBILIA KWAO.

ANAPASWA AKIMBILIE KWA NDUGU ZAKO WEWE MWANAUME.UKWENI KWAKE.

ULICHOKIFANYA ALIPOKIMBILIA KWAO HUKWENDA KUMFUATA WEWE NI SHUJAA WA MAPENZI.NI MTU UNAYEJITAMBUA.

SASA BASI,

KWA KUWA KAJA NA MAMA YAKE KUTANA NAO WOTE NA UMWELEZE HILI LIWE MWANZO NA MWISHO.

HATA KUMFUATA NA GARI USIMZOESHE KUMDEKEZA.MWAMBIE KWASASA AWE ANAPANDA GARI KAMA WENZAKE SIKU UKIWA NA NAFASI UTAKUWA UNAMPITIA.LAKINI ISWE MAZOEA AU SHERIA.

LINGINE IWE MARUFUKU KUKUCHAGULIA WATU WA KUONGEA NAO.YEYE KAJA KAKUKUTA NA HAO MARAFIKI ZAKO.LAZIMA AWAHESHIMU.

KWENYE KIKAO UWEKE MSISITIZO WA HAYO MAMBO.

NA YEYE AAHIDI KUYATEKELEZA KAMA YALIVYO.
UTAMUONA ATAKAVYOKUHESHIMU
 
Ushauri
kwanza kabisa lazima ujue status yako kwamba wewe ni mwanaume unaejiweza..

huko kujiweza kwako ndo kunaleta matatizo kwenye familia.. kivipi? ok ni hivi...

shemeji anapenda kukagua simu yako coz anahisi unachepuka.. na wanaume wengi waaojiweza huwa wanachepuka

shemeji anakasirika usipomtimizia jambo alilokuomba coz anaamini uwezo huo unao ila unaamua tu so kwake anaona kama unamfanyia makusudi.

umechelewa kwenda kumchukua shemeji coz ulikua unakunywa bia na washkaji.. hili linaweza lisiwe tatizo ila kwa sababu tayari mmeshakua na matatizo mengine ya kila siku, hili nalo limeonekana ni tatizo.

NINI CHA KUFANYA..

em jaribu kushare password yako na shemeji, jaribu kumtimizia anachokuomba, jaribu kwenda kama anavyotaka yeye uone mambo yatakuaje..

kumbuka nimesema hili ni jaribio, unaweza ukalifanya japo kwa wiki mbili ilimradi tu uone kama hapo nyumbani maisha yatabadilika.

kwenye kila tatizo linalokukabili na linalojirudiarudia katika maisha yako, ukitaka mabadiliko na ukitaka matokeo ya tofauti basi jaribu kufanya kitu cha tofauti.

kila baada ya muda unaumwa malaria na hauchomi dawa wala hulali ndani ya chandarua halafu unanung'unika kwa kuumwa malaria.. hilo ni tatizo

matatizo yenu ya ndoa ni kama malaria tu na solution nilokupa ndo kama chandarua.
livike penzi chandarua. lichomee dawa ya mbu uone kama mtapata tena malaria.

Y = mx + b

hii formula naiita formula ya kuendesha maisha.

usipopendezwa na value ya Y, jaribu kuweka value ya tofauti kwenye X.

change the way you treat your wife and your wife will change the way she treats you.
mbovu kuwahi kutokea,

Yaani unataka awe mume bwege?

Yaani akubaliane na matakwa ya mkewe ya kuchaguliwa hata marafiki?

Wewe bila shaka ni mwanaume wa Dar
 
Mzee hizo ni drama za kawaida za wanawake, mchukulie poa ingawa kwa vile vinavokukwaza mchane ukweli kuwa hupendezwi navyo. Mahusiano ni kuongea, kitu umekipenda sema, kitu hujakipenda sema.
 
Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada
Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa mahari

Kipindi chote cha mahusiano yake alikiwa insecure sana na haya mahuano kwa sababu namzidi miaka kama mitano pia na kipato. So ugomvi wetu mkubwa ulikuwa ni simu yangu. Kila mara alikiwa ananivizia kujua password za simu yangu ili kujua kinachoendelea kwenye simu yangu. Japo nilikuwa najitahidi sanaa kubadili nywira.
Kila.alipokua akikuta kitu chochote alikiwa anaondoka kwangu na kudai kaniacha.

Pia ni mwanamke ambae nisipomtimizia mahitaji yake alikuwa anakuwa na hasira sanaa akihisi ninahonga na yeya namuacha kando.

Nikafanya maamuzi ya kumpa ujauzito nikihisi ataamini kama ni wangu na atapunguza wenge. Na ataaacha utoto wa kuwa na gubu.

Ila kiukweli ilikua ni kama nimechochea moto wa gas yaaani imekua ni mara dufu. Yaaani ilifika pahala hataki niende polote kila ninapotoka kazini hata marafiki akataka kunichagulia. Wivu uliopitiliza na unaokera. Mara zote alikua anachotaka nisipomtimizia anatishia kuondoka hata kama ni kidogo.

Ilifika pahala nikachoka so last weekend alikuaa chuo anajiandaa na mitihani kama ilivyokuwa ada nilikuwa namfata chuoni usiku. So that moment nilichelewa kwa sababu nilikua nakula bia na rafiki zangu.

Huwezi amini mama watoto alimind balaaa then akachukua boda akarudi home. Mie nilifika home kama dakika 20 nyuma yake nikapiga honi hakufungua, kwa kuwa geti lilikuwa halijafungwa. Nikazima gari nimaenda kufungua nikapak gari kipembe kikaja kuingia ndani. Akakataa kabisaa kufungua. So ikabidi nizuge naenda kulala gest ndo ikabidi anipigie simu. Nilivyorudi akanirushia funguo kupiti dirishani.
Nilivyofika chumbani akawa kafunga mlango so ikabidi nilale chumba cha wageni
Next day ilikuaa j'mos aliamka kanuna,mie kama kawaida nikamuuliza kama anaenda chuo then nimamleka

Jumapili akanandikia sms ndefu kama kachoka na maudhi yangu so alikuwa anahitaji break. Mie nilipuzia kwa vile nilikuaa kazini. Huwezi amini allipiga simu nyingi sanaa akiwa anaomba nimjibu japo sikupokea.

Nilivyorudi home usiku akaniuliza nimefanya maamuzi gani then nikamwambia nimeridhia aondoke akasema jumatatu anaondoka, so jumatatu akawapeleka mtoto na dada wa kazi kwa bibi yake kwa maana ni distance fupi then jioni akaniaga kwa sms

Haikupita hata masaa matatu akaniandikia sms ndefu kama anataka kurudi home sikumjibu akapiga simu nikamwambia no.

Baada ya hapo alikuwa anapiga simu mara kwa mara ikabidi nimblock ili kuondoa usumbufu. Jumatano mida ya saa tano asubuhi nkapigiwa na namba ngeni anajitambulisha then akasema anataka kuchukua barua ya field then ikabidi niende home kumfungulia.
Nafika home namkuta yeye binti wa kazi na mtoto.

Akasema mama yake kamfukuza mie sikujali nikamwambia akimaliza aweke funguo sehem tunayoijua baada kama ya saa mbili mama yake akanisms kwamba anahitaji tuonane. Nikamjibu nimebanwa sanaa kazini kwa sananj sikuona kama ni sawa kuongea nae kuhusu sisi
Jioni nimawakuta home. Nilikuwa tayari
Nikaenda chumba cha wageni kulala. Akaja kunuomba msamaha sanaaaaa ila sikutaka kuongea lolote nikalala.

Leo nimeamka nimaenda job hadi saiz sijaenda home kwa sababu kawa msumfu nishaurini niconclude vipi hili.......
Msamehe tu atakua ameshajifunza usipofanya hivyo mwanao anaweza lelewa na bwana mwingine jambo ambalo hakuna gentleman anakubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom