Recent content by Gemmy

  1. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Chuma hainasi kwenye mbao . maana anasema amemchukua akiwa darasa la tatu. Means yeye ndiye amemshape dogo hivyo alivyo. Kuna namna akili hazifanani na tunatofautiana namna ya kuhandle possibly ukali wa muda wote umesababisha hofu na mpaka mtoto amepoteza confidence katika kufikiri na kutenda.
  2. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

    Nimewaza hii leo hii kwa maisha ya mbele sidhani kama haya mambo yatakuwepo.
  3. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Hatua za ukuaji wa mtoto katika miezi miwili ya mwanzo

    Asante kwa elimu ni uzi wenye faida na unaishi.Barikiwa
  4. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Miaka ya themanini Wazo Hill, Bunju, Boko na Tegeta kulikuwa na swala, digidigi na sungura wengi sana. Sasa hivi hawapo

    Ngorongoro kuna bati,Solar, mbwa wa kufukuza wanyama wakali.ghorofa mimi nimetembea hifadhi za ndani nyingi hakuna hii kitu. Ilikuwa ndoto yangu kufika Ngorongoro niliumia kiukweli.Serikali ndio muamuzi wa mwisho. Watu ni muhimu na hifadhi ni muhimu pia
  5. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Tuutumie safari hii fupi ya maisha yetu kutimiza kusudi la uwepo wetu

    Unaamkaje umekufa
  6. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

    Amani ya mtu haipo kwenye vitu. Jenga mahusiano mazuri na watu Mungu Samehe na kuachilia.
  7. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa Kiafrika ni Wajinga.?

    Unaweza kuwa na ujumbe mzuri lakini njia unayotumia kuwasilisha ujumbe ikakwamisha dhima nzima
  8. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Hali ya Ngorongoro na wanahabari wanaoshinikiza Wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua

    Nimefanikiwa kutembelea hii hifadhi kiuhalisia inaumiza sana. Unaenda umbali mrefu mno lkn huoni wanna wanyama pori zaidi ya zebra na nyumbu. Ni kweli wanaishi kihalali lkn serikali ilifail kufanya forecasting hakuna jamii isiyokua.otherwise wamehasiwa. Kanuni zitengenezwe Kusupport hali...
  9. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Nilirudi CCM kisa Hayati Magufuli

    Maisha yanaenda kasi sana vijana ambao wanatakiwa kuwa na fikra yakinifu za kimapinduzi ukikaa nao kuongea nao hata kujaribu kuona wana mawazo gani they don't care ni hatari sana kwani generation iliyopo sasa ndiyo ya kufanya mabadiliko vijana hamna kitu jamani Mungu aokoe vizazi vyetu wanasema...
  10. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Mmmh! Mkuu morning nina jaribu kuwaza ziwani unafugaje samaki na je ownership yake inakuaje kwasababu natural ziwani kuna samaki tayari.
  11. Gemmy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nioe tena au nibaki mgane

    Pole mkuu kwa msiba lakini ni mapema sana kuanza kufikiria kuoa.Weka akili kwa wtoto hasa huyo mdogo umri wake hawezi hata kujidefend incase umeoa mwanamke ambaye ni nyoka . Mungu akuongoze!@fisi 2
  12. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hahaha! Atakuwa manager Huyu au mmiliki kabisa
  13. Gemmy

    JamiiForums Tanzania Nywele za chini kuzifuga yataka moyo

    sijui umewaza nini nimecheka sana
  14. Gemmy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekuwa na ongezeko la wanaojifungua kwa upasuaji, nini tatizo?

    Umeongea Vizuri mkuu pia kuna sababu zinawapelekea wanawake kuopt CS sio wote wanapenda kwa mfano mwanamke anacase ya big baby huyu lazima atafanyiwa upasuaji kwa ajili ya kumwokoa mtoto .naongelea kilo kuanzia 4.6...nakuendelea.
Back
Top Bottom