Wewe ni Maghumashi tu kama penalty ya Yanga dhidi ya NamungoHabari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.
Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana