Maziwa Yanapatikana wakuu!
Natafuta mteja wa jumla ambaye anahitaji maziwa kwa matumizi ya biashara au matumizi mengine.
Aliye interested naomba ani-PM au awasiliane nami kwa maelezo zaidi kuhusu kiasi, bei na eneo la upatikanaji. Asanteni.
Kama ulikuwa unafanya mambo ya ajabu either ya kujidhalilisha kwa nini tusikukumbushe? Lazima uambiwe maana walevi huwa mnajizima data.
Kuna jamaa yangu huwa akifanya vitu vya hovyo akiwa amelewa kesho yake hujifanya hakumbuki chochote ila akifanyiwa yeye mbaya anakumbuka vizuri tu.
Acheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.