Recent content by Geita one

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kunywa chai ya kuunguza Sukari tukutane hapa

    kilikuwa ni kitu cha kawaida kufanya hivyo
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kitanzania arudishwa nchini baada ya wazazi wake kukamatwa China na dawa za kulevya

    hebu tafakali vijana wanaoteketea kwa kutumia madawa ya kulevya hapa Tanzania, utajua kuwa wote wanaofanya biashara hiyo ni wauaji
  3. G

    JamiiForums Tanzania TRA: Askofu Kakobe hana fedha wala akaunti binafsi ila Kanisa lina akaunti yenye Sh. Bilioni 8.1; amemwomba Rais radhi

    kwanza kiasi hicho ni kidogo sana kwa kanisa lililoanzishwa mwaka 89
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi kufukuzwa kazi kisa wanawake walionigombania kesi imefika kwenyewe

    Ukimaliza hiyo kesi utupe mrejesho
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua pete ya ndoa

    kwa kiasi cha laki mbili hutapata pete mbili za gold maana gram 1 inaenda 125,000
  6. G

    JamiiForums Tanzania Manji aliamsha dude; ameahirisha safari ya Yanga kesho kwa gari, watasafiri kwa ndege

    Mbona povu linakutoka
  7. G

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kumleta Magufuli, wanawake wanapatikana kirahisi uchumi mbaya

    Acha ujinga. fikiria Tanzania ya viwanda na kilimo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kontena 10 zenye kemikali za kutengenezea dawa za kulevya zakamatwa bandarini Dar

    kwa hii issue ya makontena hakuna matukio hapa lazima wahusika waende mahakamani, hakuna haja kupiga kelele kuwakimbiza wahusika
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nini sababu za kuchepuka?

    ni sahihi kabisa, Moyo wa mtu ni giza nene
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nini sababu za kuchepuka?

    je ww unahakika kuwa kashindwa kumuhudumia
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mauaji Kibiti: Mwanaume mmoja auawa kwa risasi, mkewe ajeruhiwa kwa risasi (naye afariki)

    Nini kifanyike hii tabia ikome mara moja
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Hivi kwanini mtoto huyu anafanana sana na Ivan?

    mmmmmmmmmmmm
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ray C asema hataki tena mapenzi

    je ataweza kusimamia hayo maneno anayosema
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tuisapoti Taifa Stars iliyopo huko Afrika Kusini kwenye michuano ya COSAFA

    Mungu atujalie mechi ya leo tushinde
Back
Top Bottom