Nahisi kufukuzwa kazi kisa wanawake walionigombania kesi imefika kwenyewe

We fala umetuokota, anyway kama ni kweli umefanya utoto sana.

We hao akina Marimar na akina Inna Makaspak si ulishawaona kule Star tv jinsi wanavyojua kupenda kwa dhati halafu unaleta usanii wako wakijinga ukizania akina sikitu wale!

Subiria mvua ya immigration sasa...Kipawa soon!!!
 
Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn
Naomba urudi nyumbani haraka umeshindwa kutuwakilisha vizuri hakikisha ile bendera tuliyo kupa unakuja nayo. Wapo vijana wengi tu hawana kazi wataenda huko
 
Ukimaliza hiyo kesi utupe mrejesho
 
Key concept ni kwamba upo nje ya nchi, bado unatembeza mkuyanga hebu kaloge ushinde kesi huko majuu hakuna tunguri?
 
Mkuu una ki-smart zaidi ya bongo muvi za Ray....!!Vipi yule mke wa mtu uliyemla aliishia wapi uligundulka maana ndo. ulipewa hifadhi ukatunukiwa na kipochi.!!
 
shame on u , uhuni wenu wa kiafrica wakugonganisha wanawake ndo mnachojua acha wakudeport akili ikukae sawa
 
hata wakikudeport wana haki mkuu. Umefanya dharau ya hali ya juuu. wacha urudishwe tu huku tuimbe zote nyimbo za ccm
 
We fala umetuokota, anyway kama ni kweli umefanya utoto sana.

We hao akina Marimar na akina Inna Makaspak si ulishawaona kule Star tv jinsi wanavyojua kupenda kwa dhati halafu unaleta usanii wako wakijinga ukizania akina sikitu wale!

Subiria mvua ya immigration sasa...Kipawa soon!!!
Kina maria amour
 
Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn
Kweli utu uzima dawa!Yani umeona humu ndo pakutangazia kuwa umetembea na mfilipino na mbrazil/wanawake wa nje!
Acha ufukuzwe ndo upate akili!Ujue uzinzi haulipi!
 
Back
Top Bottom