Nini sababu za kuchepuka?

Kunguru hafugiki, kashazoea huyo....then hawa "baby, I love u so much" ni wa kuwaangalia kwa macho ya ziada. Ukute anaweka dp ya picha ya mmewe na status nzuri ili kumblind....

Kama ulikuwepo vile, yaani ni hivyo hivyo.
 
kuna jamaa yangu haishi kumweka wife wake kwenye facebook eti hakunaga. wife akawa anamsifia unaona mwenzio kamweka mkewe kwenye mtandao, nikakauka kimya namjua jamaa ana michepuko km shina la muhogo. siku ya siku wife akashuhudia mr hakunaga na mchepuko
 
Afadhali yake anaechepuka lakini analiheshimu shina...wa hivyo ningeendelea kumfagilia...


kuna jamaa yangu haishi kumweka wife wake kwenye facebook eti hakunaga. wife akawa anamsifia unaona mwenzio kamweka mkewe kwenye mtandao, nikakauka kimya namjua jamaa ana michepuko km shina la muhogo. siku ya siku wife akashuhudia mr hakunaga na mchepuko
 
Kwa wadada wengi huwa ni tamaa ya pesa, ila wengine ni tabia.....
umbali pia unachangia kama atashindwa kushindana na vishawishi na kujali kuwa ana ndoa anayotakiwa kuitinza na kumuheshimu mume......
 
1.kipato+tamaa
2.kutomheshmu mwenza wake
3.kutojua thamani ya ndoa
4.umbali.

thamani ya ndoa ni nini
heshima ilikuepo zamani saiv tuvumiliane tu.
umbali sawa nakubaliana nae.
kiapo hapo pigia mstari

vip hali mkuu
 
Lakini cha kushangaza huyu mdada ana unafiki wa hali ya juu sana pale anapoweka kwenye wall yake nakupenda sana mume wangu, mara sijaona kama wewe, wewe ndio kila kitu kwangu, mara asante yetu wewe ni mwokozi wangu, huku akiendekeza michepuko, .....

Hii ni common sana mbona.
 
USIMTUKANE MKUNGA ANGALI UNAZALISHWA
nadhani umeelewa dunia inahitaji nini kwa wakati gani
angalia sasa na wewe leo umechepuka kwa mumeo na unataka kabisa kumuacha
Utakula Matapishi Yako?
 
Umbali unachangia 60%
Pia vile vile ikumbukwe tu
Kunguru hafugik

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Huyo mme wake kashndwa kumhudumia mkewe,au mkewe ana tabia hyo kitambo,kuna wengne wanaolewa fashion ila they know nothing,ucjikatili kwa kutokuwa na mpango wa kuanzisha serious relationship kwa mifano ya hawa wasiojitambua.

je ww unahakika kuwa kashindwa kumuhudumia
 
Back
Top Bottom