asante sana mwenyekiti kwa kutupa maelezo haya juu hapo, lakini bado nashindwa kuyaafiki hayo usemayo hapo juu, maana kwenye habari ya star tv kuna kiongozi (kama sio wewe) alisema mlikosa ndege ya kusafirisha mwili, na ukiangalia kwenye post yangu hapo juu nimeliongelea ili, sasa hii dhamila ya...