Mazuri
1. Kumaliza shahada ya uzamili kwa mafanikio makubwa
2. Kufanikiwa kuruka viunzi vingi. Huu mwaka umekuwa na changamoto nyingi wanaita character building challenges. Zimenijenga na kuniimarisha kimtazamo na approach yangu.
Mabaya
1. Zile video za mauaji yaliyotokea. Najuta kuangalia zile...
Habari za sikukuu.
Nauza dumbbells zangu pair ya 20kg x 2.
Napatikana Dar Es Salaam
Bei ni 200k.
Iwapo unahitaji nitumie ujumbe (sms au whatsapp) kwenye namba 0685661790.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.