Kwanini gari aina ya Toyota Rush inauzwa bei kubwa?

Pangolinr

JF-Expert Member
Feb 3, 2019
254
277
Salaam kwenu,

Kati ya malengo yangu mwaka huu ni kubadilisha gari, basi nikaingia sokoni kusaka gari mpya nikavutiwa na Toyota Rush ambayo ina 4 wheel drive na pia cc zake sio kubwa ni 1490 ila nimeshangaa kukuta bei yake inataka kufanana na Nissan Dualis, nikajiuliza ni kwanini Rush inauzwa bei hivi almost 20m na ushee!
 
Sio bei kubwa ,sema we pesa yako ya manati
 
Back
Top Bottom