Recent content by Gaselle

  1. Gaselle

    Kuna ugomvi wa chini chini India dhidi ya Tanzania?

    Na kuhusu dengu serikali ya india imeongeza import duties from 25% to 60% ambayo inaleta juma ya kodi zote kufikia 66% hivyo hakuna faida Kwa mnunuzi kununua kwa bei ya zamani hivyo ni lazima wawabane wakulima wauze kwa bei ya chini au waache kununua. Tatizo hapa ni kushindwa kuwa na soko...
  2. Gaselle

    Kuna ugomvi wa chini chini India dhidi ya Tanzania?

    Muheshimiwa zito usipotoshe umma hii imetokana na mabadiliko ya sheria zao za kuingiza mazao Kwa ajili ya kuwalinda wakulima wao kabla hujaandika vitu kama hivi fanya uchunguzi kwanza kuliko kuropoka na kuleta matatizo ya kidiplomasia na hii sio kwa Tanzania tu bali ni kwa nchi zote zinazoingiza...
  3. Gaselle

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Ukisikia umbea, unafiki, unafaru ndio huo kweli wewe unaacha kupambana na maisha yako unaanza kudiscuss watu duh kweli wewe snitch hufai hata kupelekwa nyumbani Kwa mtu. Unapenda kilasiku kumuona mtu anatembea kiatu kimelika upande mmoja?? Wewe hutakuja endelea utabaki kuuliza watu wanafanya...
  4. Gaselle

    Kwa mahitaji ya mashine za kuuzia luku

    Vipi mnauzaje mashine za EFD (ESD na vile vidogo vya kutoa risiti)
  5. Gaselle

    Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

    Wewe unamawazo madogo sana kama unaendelea kufikiria Aid Kwa mustakabali wa nchi yako umechelewa pamoja na tunavyotukanwa Kwa kuwa ombaomba bado kunamajitu yanafikiri kwamba hatuwezi kusonga bila ya fedha ya mzungu huko ni kuwa katika utumwa wa kifikra hongera Tanzania Kwa kuonyesha ukomavu na...
  6. Gaselle

    Simu mpya kabisa kwa bei nafuu

    Mbona unajichanganya mkuu utapata mzigo ofisi iliyopo kariakoo na Mara Kwa Tanzania ofisi ipo kinondoni kipi ni kipi hapo unatia watu wasiwasi ukiwa unajichanganya hivyo
  7. Gaselle

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Poa zikiingia please nahitaji hevy duties coloured
  8. Gaselle

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Please tuma picha ya printers tuone na bei
  9. Gaselle

    UDSM acheni kujikweza, mtatambulika kwa kazi zenu

    Sasa huyo ni mpumbavu huwezi ukawa unafanyiwa yote hayo halafu unasema una master. Mzumbe ukienda ukiwa serious utatoka na vitu vingi sana kunawalimu wengi wazuri wanaojali wanafunzi na kuwa tayari kukusaidia kama mwanafunzi tofauti na UD walimu ambao wanapenda kukomoa na wanaofanya mambo ya...
  10. Gaselle

    Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

    Wewe unaejua hebu tueleze historia ya msalaba na utatu mtakatifu. Kama unasema kweli kwamba msalaba wa yesu ni tofauti na msalaba wa Ethiopia tueleze ni lini wakristo walianza kutumia msalaba kama kweli wewe ni mkweli
  11. Gaselle

    ACACIA waanza taratibu za kuukabidhi mgodi wa Buzwagi, wamekabidhi Uwanja wa ndege

    Maelezo mengine humu ni uongo ACCCIA walishatoa taarifa hii zamani kabla ya sakata ya makanika kwamba wamemaliza dhahabu hivyo cost ya uendeshaji ni kubwa kuliko wanachovuna Leo hii unasema sababu ya makenikia mmh mbona tunatia hofu watu jamani
  12. Gaselle

    Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Hivi Italy na Roma watu wanapochimbana vinyesi ni waislamu?? Sheria ya kiislamu ipo wazi shoga hukumu yake ni kuuwawa mwenyekufanya na kufanyiwa hebu niambie sheria yenu inasemaje kuhusu huo uchafu halafu urudi tena na kauli uliyoitoa
  13. Gaselle

    Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

    Nashukuru Kwa kunikosoa mimi sio mwanasiasa
  14. Gaselle

    Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

    Kama huna elimu ya kitu jaribu kuuliza kwanza kabla ya kuleta information kwenye baraza. Naomba kukuosoa kwamba sio kila almasi carat moja inauzwa dola 5000 kuna almasi hadi ya dola 300 inategemea rangi ya hiyo almasi vilevile inategemea muonekano wake inategemea ukubwa wake je pc 1 ina carats...
  15. Gaselle

    Nafasi ya kazi UAE

    Anayetaka asije akaambiwa kwanza alipe dola miambili za forms watanzania jihadharini na matapeli Kenya waliibiwa Kwa njia hizi sana lipa dola arobaini kwa viza dola 500 air ticket Kwa experience Kwa nnchi za kiarabu ticket anakata muajiri but mletamada anasema mwajiriwa agharamikie ticketi...
Back
Top Bottom