Kwa mahitaji ya mashine za kuuzia luku

Kwa mahitaji ya mashine za kuuzia luku

Joined
Jan 23, 2018
Posts
13
Reaction score
3
Habari,
Naomba nikusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3. Kitambulisho chako
4.Barua ya serikal ya mtaa
5. Picha zako za passport size 2

Grarama ya mashine ni shilingi sh:674,000/=

Nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836
Acc name:MAXCOM AFRICA LTD au ofisi ya MaxMalipo Makumbusho Millenium Tower

Asante kwa ushirikiano wako,
0675688791
Zakaria Kimosa
 
Habar,
Naomba nkusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document Copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:

nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836
Acc name:MAXCOM AFRICA LTD au ofisi ya maxmalipo makumbusho Millenium Tower

Asante kwa ushirikiano wako,
0675688791
Zakaria kimosa
Ungetoa pia jinsi gani huyu mfanya biashara atapata faida
 
1ba23b7c312c6abc67434f53769d92af.jpg
 
Habar,
Naomba nkusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document Copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3. Kitambulisho chako
4.Barua ya serikal ya mtaa
5. Picha zako za passport size 2

Grarama ya mashine ni shilingi sh:674,000/=

nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836
Acc name:MAXCOM AFRICA LTD au ofisi ya maxmalipo makumbusho Millenium Tower

Asante kwa ushirikiano wako,
0675688791
Zakaria kimosa
Mkuu huduma zenu kama vile ni dhaifu sana, karatasi tu za kuprint hadi ufate sayansi, network kusumbua kila mara. Pesa ukiweka kwenye mashine ukapata dharula basi huwezi kuitoa maana mpesa iliwashinda n.k
 
By now these problems yamekwisha kikubwa ni kufwata matumizi sahihi .upande tatizo la kuvuta kwa karatasi kunaspecial rola ambozo hazinao vumbi na wala sio ngumu
Na
Upande wa network now tupo good coz mashine tunazo ambazo hazi tumii anetrnal ya nje .zinatumia anetral ya ndani
 
Habar,
Naomba nkusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document Copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3. Kitambulisho chako
4.Barua ya serikal ya mtaa
5. Picha zako za passport size 2

Grarama ya mashine ni shilingi sh:674,000/=

nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836
Acc name:MAXCOM AFRICA LTD au ofisi ya maxmalipo makumbusho Millenium Tower

Asante kwa ushirikiano wako,
0675688791
Zakaria kimosa
Mie niko mwanza nitapataje hii mashine
 
Habari,
Naomba nikusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3. Kitambulisho chako
4.Barua ya serikal ya mtaa
5. Picha zako za passport size 2

Grarama ya mashine ni shilingi sh:674,000/=

Nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank
Accounts Numbers:
NMB: 20110013836
Acc name:MAXCOM AFRICA LTD au ofisi ya MaxMalipo Makumbusho Millenium Tower

Asante kwa ushirikiano wako,
0675688791
Zakaria Kimosa

Vipi mnauzaje mashine za EFD (ESD na vile vidogo vya kutoa risiti)
 
Mkuu huduma zenu kama vile ni dhaifu sana, karatasi tu za kuprint hadi ufate sayansi, network kusumbua kila mara. Pesa ukiweka kwenye mashine ukapata dharula basi huwezi kuitoa maana mpesa iliwashinda n.k
sasa hivi huduma zao mbaya sana, ukiweka hela bank utapiga cm mpaka ukome ndo uwekewe, commision wanakukadilia wao siyo ile ulofanya kazi, ikitokea umepata tatizo utahangaika mwenyewe, sasa hivi machine za luku zipo nyingi sana tu mpaka bank wana machine
 
Jamaa ovyo sana. Zamani walikuwa wakituma msg ya kukujulisha kamisheni yako wanaweka na kiwango, siku hizi kiwango hawaweki sijui hadi uulizie, yaani ni usanii mtupu. Ila kuongeza pesa uwe unatumia mpesa ndo rahisi na haina gharama na unaweka na inaingia hapo hapo.
 
Hizi mashine unaweza tumia kufanya miamala ya simu km tigopesa,mpesa etc
 
Back
Top Bottom