Recent content by garson

  1. garson

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa biashara ya d9 clube trading

    Kuna biashara ya mtandaoni jamaa mmoja amenieleza kuwa imewatoa wengi. Biashara yenyewe ina itwa d9 clube trading. Kama kuna mtu anaifahamu naomba anifafanulie kama haina shida yeyote
  2. garson

    JamiiForums Tanzania Yanga wanachokilalamikia hata sikioni

    Hahahah inatakiwa kuchagua mechi kabla ya kucheza mechi hata moja.
  3. garson

    JamiiForums Tanzania Dereva mzuri husikiliza abiria wake

    Ila dreva wa lori hana wakumsiliza mana mizigo haiongei that y dereva wa lori anasema hasikiliz abiria maana yy amebeba mizigo abaria wako kwenye gar jilan
  4. garson

    JamiiForums Tanzania Dereva mzuri husikiliza abiria wake

    Vyema ukasilikiza abiria wako ila ukafanyia kazi maoni muhimu ya wachache
  5. garson

    JamiiForums Tanzania Hili ndio wazo langu la biashara nahitaji mchango wa mawazo zaidi

    Safi sana ndg. Nimesoma comment za watu juu ya wazo lako. Nikichogundua kuna watu wabinafsi, wenye dhalau ila wengi ni waungwana sana. Ukifuatilia matajiri wengi wameanza na biashara ndogondogo sana kama hizi kwaiyo usikate tamaa chukulia wale wanaokukatisha tamaa ndio iwe hamasa kwako...
  6. garson

    JamiiForums Tanzania Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

    Gwajina ni striker wa nchi hii
  7. garson

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Ninatatizo la damu kutoka kwenye fizi naombeeni msaada
  8. garson

    JamiiForums Tanzania Inachukuwa muda gani tangu mwanamke ajifungue hadi kupata tena ovulation?

    Habar ya mchana ndugu zangu. Naomba kufahamu inachukuwa muda gani tangu mwanamke ajifingue hadi anapoanza tena ovulation. Au ni muda gani tangu mwanamke ajifungue unapita hadi pale anapoweza kushika ujauzito?
  9. garson

    JamiiForums Tanzania Zitto ajiingiza kwenye uchaguzi wa TLS, awataka wajumbe wamchague Masha badala ya Lissu

    Mtu mkitofautiana kimawazo usimwite mnafi. Haiwwzekani wote mfikirie sawasawa. Tujifunze kuheshim mwazo ya mtu
  10. garson

    JamiiForums Tanzania Piga kura yako sasa: Wangapi bado wana imani na straika wa timu yetu

    Striker huyu bana mzuri sema mchoyo sana hataki kutoa assist kwa wenzake. Yeye anataka atoke katikati ya uwanja hadi golini bila kupiga pas kwa wenzake utafikir anacheza peke yake uwanjani... Next mechi akae banch tusiendelee kupoteza point tatu. Mavugo bana tumekosa jana point 3
  11. garson

    JamiiForums Tanzania Mathematician proved failure and they have to acknowledge it.

    Usichanganye imami na mambo ya mambo haya ya kibinadamu unapotea
Back
Top Bottom