Recent content by Ganstar

  1. Ganstar

    George W Bush arrives in Tanzania

    R.I.P Nyerere-Tangu ututoke (Nowadays) Ikulu ni kituo cha kula bata tu na kuuza nchi. kazi kweli kweli.
  2. Ganstar

    Dhifa ya Kitaifa na Obama: Mbowe ndani ya mwaliko Ikulu

    Alipo ingia madarakani nchi ya kwanza kuzitemelea Africa ilikua Misri na Ghana. Baada ya hapo Misri imechukuliwa na upinzani na Ghna pia, wakati huo huo senegal ipo upinzani. Naikubali sera ya America kwamba hawana marafiki wa kudumu wala maadui wa kudumu. nategemea 2015 nchi kuchuliwa na...
  3. Ganstar

    Rais Kikwete akutana na viongozi wa dini ya Kikristo Ikulu...

    JK anawachora tu Wakristo kwani yeye anajibu lake tena kwa makusudi yake, Hapo anafulahi sana kuona malengo yake yametimia juu ya wakristo.
  4. Ganstar

    Hongera Magufuli Kwa Kuwapasha CHADEMA

    Alikua akitokea kenya Kumpa pole rafiki yake?.
  5. Ganstar

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    100% Hii story siyo ya kweli kwa sasa. Ila iliwahi tokea kipindi cha nyuma sana.
  6. Ganstar

    Mpango wa kumkomoa Mnyika wafanikishwa...

    Huku Makuburi pia ni shida tu, Wanadhani ndio dawa. Tumesha washtukia na ikiwezekana mnyika aandae mikutano kuwaeleza wakazi ujinga wa Nyinyiem.
  7. Ganstar

    Sasa ni siku ya 19 Maji safi hayajatoka Ubungo Makuburi

    Tangu Mbunge wa Ubungo, Ndugu John Mnyika Aoneshe nia ya Kuwasilisha Hoja Binafsi kuhusu Tatizo la Maji Safi na Maji taka jijini Dar es salaam na mpaka alipo wasilisha hoja hiyo na kukataliwa, Hatujawahi pata tena Maji Safi. Naomba Ndugu Jumanne Magembe ujitokeze hapa na utueleze wana Ubungo nia...
  8. Ganstar

    Bunge lageuzwa ukumbi wa ngonjera.

    Kingwangala=Nchemba=Lusinde, huwezi jua yupi ana digree wala yupi ni wa Darasa la Saba. kingwangala na Nchemba kwanza wote ni wezi wa majina ya watu, ndio maana akili zao zipo sawa na Lusinde. Hovyo kabisa hao
  9. Ganstar

    Mwigulu, nilikuonya ukakataa sasa maji yako shingoni unanitafuta...

    2015 Utapigwa vibaya kama alivyo kupiga NASHONI ANDREW pale Mazengo High school. Kumbuka ulivyoanza kunyoosha vidole 3 Kwa maana ya kupata pint 3, ukaja 4, ukaja 5, ukahamia mkono wa pili ukaongeza kimoja vikawa 6, ukaja 7, haikutosha ukaenda vidole 8, mara 9, hatimaye ukanyanyua mikono yoye...
  10. Ganstar

    Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

    Hapa kuna hoja CCM wanataka kuzipitisha, ambazo ni lazima zipite kwa manufaa yao. Kumbukeni 2013,2014,2015 ni miaka muhimu sana. kunaissue za katiba mpya, mambo ya uchaguzi ndogo mpaka kubwa, pesa za uswiswi na mambo mengine mengi sana ambayo yanaweza kuizamisha CCM yakiwa live. So hiyo ni njia...
  11. Ganstar

    Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    Mda si mrefu uliopita Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo PK Pinda, Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi na IGP Saidi Mwema Wamewasili Mtwara na Sasa wapo Ikulu ndogo wakiendelea na Mazungumzo na wenyeji wao. Wakati huohuo ndege mbili za Jeshi zimepeleka Askali Polisi na Jeshi huko...
  12. Ganstar

    Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida

    Ni yule jamaa aliyehujumu elimu ya Mwigulu nchemba, ila yeye anaitwa Lameki Madilu Mkumbo
  13. Ganstar

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kibaha ajiunga CCM

    Issue hii ni ya Mwaka Jana. Mzee huyu tangia mwaka jana alisimamishwa chama kwa tuhuma za Ubathilifu. Tena alikua wa mda tu. Cha kushangaza huyu mwandishi wa gazeti la mwananchi sijui kapewa kiasi gani cha pesa ili aropoke ujinga kama huu. Kwanini asiseme kwa nini alisimamishwa na lini, maana...
  14. Ganstar

    Mbeya Kumekucha "Mulugo Ampiku Sugu"

    Magazeti mengi sasa hivi yamekua yanatabia za Ki-udakuudaku tu U-shankupeshankupe tu. Tanzania kwa sasa tumebakia na magazeti machache sana ambayo mtu mwenye akili timamu iliyotulia na wala sio shankupe unaweza nunua na kusoma. Waandishi wengi wa habari wananjaa sana kuliko hata njaa...
  15. Ganstar

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Mbona mnanichanganya, huyu ni Mwigulu Nchemba au Lameck Madelu Mkumbo?. Mbona Mwigulu Nchemba ni msukuma yupo igunga anachunga mifugo yake?,
Back
Top Bottom