Recent content by gangsterone2010

  1. G

    Mwanasheria mkuu ampinga Dk Hoseah

    Mjenda Chilo naomba kukuuliza dhana nzima ya "Checks and Balance" unaijua???labda ngoja nikujuze...katika Legal context "Checks and Balance" ni kwa mihimili 3 ya dola (Bunge, Mahakama na Executive) kuangaliana mmojawapo usionekane una nguvu kuliko mwingine. Sasa DPP na TAKUKURU ni vyombo ambavyo...
  2. G

    Edward Lowassa vs Edward Hosea

    Kankwale acha kudandia treni kwa mbele naamini unayajua madhara yake...tulikuwa tunajadiliana na wamuzengo sasa kilichokutoa uvunguni sielewi ni kitu gani...haya lakini karibu...!!!
  3. G

    Edward Lowassa vs Edward Hosea

    Ngandema Bwila inasikitisha kuwa na watanzania ambao bado mpaka sasa they don't understand the rule of Law lakini wanatumia mitandao mikubwa kama hii JF...not all allegations might be true, siamini kama chombo chetu nyeti kama TAKUKURU waone taarifa kwa njia yoyote ile halafu wakae kimya...bali...
  4. G

    Edward Lowassa vs Edward Hosea

    Wamuzengo hakuna ninachokitetea hapa...ila penye ukweli tuwe tunausema, hivi kweli kazi yote ambayo naishuhudia mimi ikifanywa na TAKUKURU kupitia Media wewe huioni au huna macho, I mean unaona giza kabisa...basi inabidi uwekewe kibatari angalau uweze kuona. Ina maana hao wakubwa tena walio...
  5. G

    Jalada la Mkulo latua kwa Hoseah

    Wale wote wanaopenda kila siku watu wakamatwe kwa rushwa...ikiwatokea baba zao nao wakikamatwa kwa rushwa wataona joto ya jiwe...kwa sasa hawaujui uchungu wa mtu kufikishwa mahakamani kwa rushwa...!!!
  6. G

    Jamani mbona Hosea hajajiuzulu hadi leo na hajawajibishwa?

    Laiti angekuwa kayafanya hayo madhambi mliyoyasema roho ingemsuta...lakini kwa kuwa anajiamini na msafi na anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria inayomuongoza Hosea hana haja ya kujiuzulu...mikelele yetu hii ni kama tumetumwa kumchafua humu JF...big up JK na Hosea kazeni buti kwenye...
  7. G

    Edward Lowassa vs Edward Hosea

    Sijui Ngw'anangwa ungekuwa wewe kwenye ile nafasi halafu kwa taarifa za vyombo vya habari tu kama ungejiuzulu...kwa mantiki hiyo kesho baba yako akitolewa "First heading" kwenye gazeti la KIU au IJUMAA (udaku) kwamba kafanya jambo fulani utamtaka ajiuzulu...!!!There should be proven grounds with...
  8. G

    Kama ningekuwa dr. Hosea wa takukuru

    Hapana Mzambia asikimbie kwenda kokote bali akomae kibishi kutusaidia wanyonge...jembe letu likiondoka kwenye kile kiti chake mafisadi watafurahi sana kwani sasa hivi anawazibia riziki zao...ipo siku wananchi tutaandamana kwenda kwa DPP tukamchape fimbo kwa kuzuia mikesi ya waheshimiwa...
  9. G

    Mafisadi kutumia Bunge kumtisha Dr.hosea

    Duuuh waheshimiwa hawachelewi kumwekea Hosea zile sumu zao za Dodoma kama ilivyowatokea baadhi ya waheshimiwa wapambanaji wa ufisadi...Mungu alilinde jembe letu, Hosea kama unanisoma chapa kazi na hakikisha kila sisimizi aliyekula rushwa unampeleka kwa pilato...wakanyee madebe segerea...kaza buti
  10. G

    Ya Utoh hanayana tofauti na ya hosea..

    Ngoshwe unaposema yanafana na ya Hosea kwenye sakata la Richmond na umeme wa dharura ni sijakuelewa???!!!unayo taarifa yoyote kuhusiana na hili kutoka kwenye source ya uhakika???tujuze basi...
  11. G

    Jalada la Mkulo latua kwa Hoseah

    Itakuja kueleweka siku baba zenu wakining'inizwa kwa pilato kutokana na kula rushwa...!!!
  12. G

    Edward hosea live on itv

    hilo ndio tatizo la kutumwa kumchafua mtu fulani humu kwenye jamii forum...hivi hatuna mambo ya mendeleo kujadiliana hadi ionekane mi-comment yako tu kumponda jembe la pccb hosea...!!! kweli mwenye macho haambiwi aone, mijenerali ya jeshi la wananci tumeishuhudia ikipandishwa kizimbani siku...
  13. G

    Tuijadili PCCB: Kwanini tuendelee kuwa nayo?

    Usemacho JF Senior Member Expert kina ukweli haswaaa...dhana ya "checks and balance" niilewavyo mimi ni kwa mihimili mikuu mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na Executive...kwamba Bunge liisimamie Serikali inapotekeleza majukumu yake na vice versa...lakini kilichopo kati ya DPP na PCCB ni...
  14. G

    Takukuru yawasaka Mungai, Mwakalebela

    Ukila rushwa ni sawa na kula nyama ya mtu...acha wakanyee debe ili wajifunze...big up sana TAKUKURU kwa kazi yenu nzuri...ila msiishie hapo kazeni uzi zaidi...
  15. G

    Takukuru yenye meno, sio tu ya maneno

    Mnasahau hao wavutaji wa rushwa wadogo kama polisi wanaweza kuua mamia barabarani...rushwa ni rushwa tu, kama wanawakamata wala rushwa wadogo tuwapongeze basi kwani wanasidia mpate hata asprini pale muhimbili nyie pimbi, wasingekuwa wao tungetoa rushwa hata kupata panadol hospitali. Mimi...
Back
Top Bottom