Recent content by GANGSTAR

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova asilaumiwe!

    Hongera sana jeshi la polisi kwa kumaliza utata ingawa watu wachache wasiokuwa na uzalendo na mapendo mema na nchi yao huwa wabishi kila siku, hawa huwa hawaoni success siku zote wanafikiri kupinga kila jambo linalofanywa na serikali ama vyombo vya uslama hawajui usalama wao hutengea vyombo vya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova asilaumiwe!

    Hongeara sana jeshi la polisi kwa kumaliza utata ingawa watu wachache wasiokuwa na uzalendo na mapendo mema na nchi yao huwa wabishi kila siku, hawa huwa hawaoni success siku zote wanafikiri kupinga kila jambo linalofanywa na serikali ama vyombo vya uslama hawajui usalama wao hutengea vyombo vya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania CV ya KOVA!!

    Kova ni kamanda madhubuti kabisa anaaminika na hawezi kufanya kazi kwa matakwa ya watu bali sheria ,kanuni na taratibu za kazi ndio muongozo wake. Kamanda endelea kwani kamamda bora na mtendaji huwa hapendwi na ndio maana tunasemaga kamanda mnoko na kamanda poa usikubali kuitwa kamanda poa bora...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa amvimbia Waziri Nchimbi

    Lakini wana JF, Mtu analalamika amepigwa then wanatokea watu wengine wanamuuliza au kumuhoji nani amempiga hataki kusema, sasa mtu huyo alisema amepigwa kwa maana gani? kutaka kusaidiwa au kutafuta cheap publicity? je ikitokea wala hatuombea mtu huyo akaumwa ghafla na kufariki si itakuwa gumzo.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Viongozi wa CHADEMA watahojiwa juu ya kutishiwa kwao kuuwawa.

    lakini hivi serikali isingesema kituwatu wangesema hawajali raia wake, imetoa tamko la kufanya uchunguzi watu bado wanasema hakuna lolote, tumekuwa washabiki sana hata ktka mambo ya kiusalama tuache ushabiki wana JF.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Slaa na Lema kuuawa

    wanatafuta cheap publicity hao.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Slaa na Lema kuuawa

    Hana lolote silaha huyo arudishe mke wa watu kwani dhambi ya kuiba mke bado inamkosesha raha mpaka anaweweseka.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Dr. Namala Mkopi kiongozi anahojiwa Central Police muda huu

    Lakini vyombo hivi vyote vya usalama huwa vinakula kiapo kulinda serikali iliyoko madarakani pamoja na wananchi wake, bila shaka hata hao cc wapinzani tukifanikiwa kupata madaraka sidhani kama tutaachia serikali iwe inachezewa chewa lazima kutumia vyombo hivyo hivyo kulinda serikali mpya...
  9. G

    JamiiForums Tanzania TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    lakini polisi tunawalaumu tu kazi ya kufanya upelelezi na kutafuta ushaidi wa kutosha ni ngumu na huweza kuchukua muda mrefu sana mpaka kukamilika.
  10. G

    JamiiForums Tanzania TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    kazi ya kupeleleza kesi ili kupata ushaidi wa kutosha na uhakika ni ngumu sana cha msingi ni vizuri sana sisi tuwe tayari kutoa ushaidi pale tunapohitajika ili ziweze kutolewa hukumu mahakamani.
  11. G

    JamiiForums Tanzania TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    c.h.a.d.e.m.a acheni uongo
  12. G

    JamiiForums Tanzania TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    Chadema msitake kuwafanya wananchi wajinga na kujenga chuki kwa serikali yao, kukitokea machafuko katika nchi hii wananchi ndio watapata shida na kuangaika.
  13. G

    JamiiForums Tanzania TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    Hao wote si watu wazuri, kwa uelewa wangu wote wametenda kosa la jinai ni lazima wakamtwe hao.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Traffic Police.

    lakini madereva wa mabasi ya Arusha na Mwanza huwa wanakimbia sana bila kusimamishwa roho za abiria zinakuwa tete sana
  15. G

    JamiiForums Tanzania SACP J. J. Mwesiga amefariki

    R.i.p kamanda
Back
Top Bottom