SACP J. J. Mwesiga amefariki

SACP J. J. Mwesiga amefariki

Ni kweli alikuwa anamiliki visima kadhaa vya mafuta na malori. RIP jj mwesiga
Licha ya uwezo wa kifedha aliokua nao,baada ya kuugua ghafla alirushwa kwa ndege ya kukodi toka Bkb kwenda Bugando,walishindwa kumtibu kutokana na ukosefu wa vifaa! Alikimbizwa Dsm,ambako alifariki muda mfupi akihudumiwa na daktari bingwa! Kwa hiyo madaktari wanapozungumzia mazingira bora ya kazi,vifaa na maslahi yao ni issue nyeti sana! Kama wewe ni mbunge,mtendaji wa ngazi ya juu serikali ama ni kada wa ngazi ya juu CCM pigania hospitali zetu zipate vifaa na maslahi ya watumishi wake kwasababu hujui siku yako ambayo itashindikana kukimbizwa Ulaya ama India!!
 
Mungu amuweke anapo stahili.R.I.P

Mungu amuweke anapostahili- a philosophical term! Unauliza makofi polisi!-semi hizo zinaashiria ukatili wa polisi katika kuvunja haki za binadamu!! Any police must have been in the forefront of human rights violation- MUNGU AMUWEKE ANAPOSTAHILI
 
Licha ya uwezo wa kifedha aliokua nao,baada ya kuugua ghafla alirushwa kwa ndege ya kukodi toka Bkb kwenda Bugando,walishindwa kumtibu kutokana na ukosefu wa vifaa! Alikimbizwa Dsm,ambako alifariki muda mfupi akihudumiwa na daktari bingwa! Kwa hiyo madaktari wanapozungumzia mazingira bora ya kazi,vifaa na maslahi yao ni issue nyeti sana! Kama wewe ni mbunge,mtendaji wa ngazi ya juu serikali ama ni kada wa ngazi ya juu CCM pigania hospitali zetu zipate vifaa na maslahi ya watumishi wake kwasababu hujui siku yako ambayo itashindikana kukimbizwa Ulaya ama India!!

Nasikia nchi zilizoendelea kama za uingereza,ujerumani,china,japan watu hawafi kwa kuwa kuna vifaa vya kutosha hospitali.
 
Jamaa yangu anadai yeye alikuwa Old Moshi ni vipi hajapitia JKT? Mm nilikuwa MuccoBs naelewa Kamanda km yule huwa hakimbii mchakamchaka na kulazimisha watu waimbe watakimbizwa na NCO's
RIP Kamanda SACP MWESIGA MUNGU akulaze pema peponi

wewe ulienda JKT ipi?, OP gani?, kikosi gani?, RSM wako alikwa nani?, hujui kuwa asubuhi munapo-parade afande mkubwa kabisa anaweza kuuliza kwanini hasikii makuruta wakiimba kwa sauti wakati wa mchakamchaka?, nahisi ulikiwa serule asiye-parade. Pole yako.
 
Licha ya uwezo wa kifedha aliokua nao,baada ya kuugua ghafla alirushwa kwa ndege ya kukodi toka Bkb kwenda Bugando,walishindwa kumtibu kutokana na ukosefu wa vifaa! Alikimbizwa Dsm,ambako alifariki muda mfupi akihudumiwa na daktari bingwa! Kwa hiyo madaktari wanapozungumzia mazingira bora ya kazi,vifaa na maslahi yao ni issue nyeti sana! Kama wewe ni mbunge,mtendaji wa ngazi ya juu serikali ama ni kada wa ngazi ya juu CCM pigania hospitali zetu zipate vifaa na maslahi ya watumishi wake kwasababu hujui siku yako ambayo itashindikana kukimbizwa Ulaya ama India!!

Mkuu umeua!! lkn serikali inakwepa sana hilo la mazingira/vifaa/madawa,,imeshadadia inshu ya maslahi kwamba ni makubwa mno na haina uwezo nayo..Ukosefu wa vifaa mahospitalini ndo unarudisha nyuma huduma za afya na kuwafanya madaktari wa kibongo waonekane less competent
 
wewe ulienda JKT ipi?, OP gani?, kikosi gani?, RSM wako alikwa nani?, hujui kuwa asubuhi munapo-parade afande mkubwa kabisa anaweza kuuliza kwanini hasikii makuruta wakiimba kwa sauti wakati wa mchakamchaka?, nahisi ulikiwa serule asiye-parade. Pole yako.

Mkuu Gama,
ungekuwa Umeniuliza mimi sali hilo ningetaja Y 99.., SM.SHIMBONONI. 823 KJ BUHEMBA, RSM MWARUSHA (W.O.1), O.P. Program ya Chama, O.C. Lt.Col. Masuka (Det. Commander Butiama Mwitongo Project).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom