yes its good idea, kuna mamlaka zinazosimamia haki za wanunuzi na watumiaji wa huduma, muda huu ndio inabidi wafanye kazi yao.
kweli haiwezekani system ya MPESA ikashindwa kufanya kazi zaidi ya siku mbili while kuna watu wanaakiba zao za fedha
hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!
inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB
teh teh
KAMA ULIKUWAPO VILEEEEEEEEEEEEE ' ni kawaida yao kujishuku kwa facebook nowdays' mara single bt happy , mara bora nimeachana nae, mara maisha yangu sasa yapo happy, mara bora kuwa single yaaan hawa watu bana mi NAWACHUKIA MPAKA SITAKI KUWAONA NIKIPITA BARABARANI MAANA NAWEZA JIRUSHA NIGONGWE NA...
UEFA today announced the award of the 2012-15 UEFA Champions League and UEFA Europa League free-to-air media rights in sub-Saharan Africa (excluding the Republic of South Africa) to Star Times.
Star Times will ensure the distribution of media rights to free-to-air broadcasters throughout the...
IFUNDA TECH huko nako balaaa nakumbuka POLI/MSITU ambapo watu waliamishia madawati huko, tifu lilikuwa pale wanakijiji wanapochoma moto misitu mara SAA 9 USIKU Mnasikia king'ora cha shule kwenda kuzimaa motoooooooooo nyooo
DUUU WE JAMAAAA INAMAANA UMESOMA UDSM ZAIDI YA MIAKA 10? since early 1990's to early 2000's...duuu MI NAWASIWASI NA DIGREE YAKO.......inaonekana ulikuwa wa kudesa sana wewe kisha kucary kwako kama kawa ...?
au UDSM IPI wewe unayoiongelea ya DSM au wapi??? au ...........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.