UDSM Chapel

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Just to remind those who had stayed at the campus. Its a nice place for those who are having sense of Christianity in them

Chaple.jpg
 
Duh,umenikumbusha udsm miaka ya 2005,unakimbia yombo kwenda lecture alafu unatoka kule unaenda [ingenearing]?unafika lecture imeshafika nusu
 
Wengine walikuwa wanaona gharama kupanda sahto kwenda mabibo (sh 200) so wanatembea kutoka Campas had Mabibo, wakifika wako hoi wanakunywa majo ya 500!, so wanapata loss ya 300
 
Hawafanyi tathimini,ila sijui labda walikuwa wanafanya mazoezi
 
Duh,umenikumbusha udsm miaka ya 2005,unakimbia yombo kwenda lecture alafu unatoka kule unaenda [ingenearing]?unafika lecture imeshafika nusu

Duuu Daffi na mbwembwe zooooteee kumbe mtoto kabisa..... Mie ni early 1990's... Kama ningeanza kuchakachua mapema ungekuwa kijana wangu Daffi
 
Mhhh umenikumbusha miaka yangu pale UDSM kuanzia 2000 mpaka 2004 kweli palikuwa na raha yake. Cafeteria za manzese, sheratoni, engineeering, mama lishe kule juu na daruso.
 
Wengine walikuwa wanaona gharama kupanda sahto kwenda mabibo (sh 200) so wanatembea kutoka Campas had Mabibo, wakifika wako hoi wanakunywa majo ya 500!, so wanapata loss ya 300

Shuttle pori hiyo. . . .
 
Ooooh yes, haya yalikuwa maeneo yangu ya kujidai na kufanyia mashambulizi dhidi ya ufalme wa giza in 1990s to 2000s.
 
DUUU WE JAMAAAA INAMAANA UMESOMA UDSM ZAIDI YA MIAKA 10? since early 1990's to early 2000's...duuu MI NAWASIWASI NA DIGREE YAKO.......inaonekana ulikuwa wa kudesa sana wewe kisha kucary kwako kama kawa ...?

au UDSM IPI wewe unayoiongelea ya DSM au wapi??? au ...........
 
Hayo mazoez ya wiki dumehasa wiki hizi za ukata ndio unawaona.......miaka ya karibuni wanasingzia foleni
Labda!, laikini.................mazoezi na suti, jeans, tena bila kupangilia!, ni kukusa kufikiria!
 
DUUU WE JAMAAAA INAMAANA UMESOMA UDSM ZAIDI YA MIAKA 10? since early 1990's to early 2000's...duuu MI NAWASIWASI NA DIGREE YAKO.......inaonekana ulikuwa wa kudesa sana wewe kisha kucary kwako kama kawa ...?

au UDSM IPI wewe unayoiongelea ya DSM au wapi??? au ...........

Mkuu hiyo kwenye nyekundu umeongeza mwenyewe mimi sikuziweka hizo. Ukisema 1990s (ina maana from 1990 - 1999) na ukisema 2000s (ina maana from 2000 -2009). Au mimi sielewi hapa? Kama ni hivyo kwani kuanzia 1997 - 2001 si sawa kwa kile nilichokisema? Na je, kama mtu amesoma bachelor na master hapo hapo kuanzia 1995 hadi 2002 je, si sawa kwa kile nilichosema au?
 
Duh,umenikumbusha udsm miaka ya 2005,unakimbia yombo(Yombo?) kwenda lecture alafu(halafu?) unatoka kule unaenda [ingenearing](engineering?)?unafika lecture imeshafika nusu
Du Mkuu, ulisoma Chuo kipi?
Chuo Kikuu kweli?
 
Du Mkuu, ulisoma Chuo kipi?
Chuo Kikuu kweli?

Anaweza kuwa anaandika kwa kutumia cellphone. Ni rahisi kufanya typos kwenye keyboard ndogo, na pia ni vigumu kufanya masahihisho kwe vile nyingine hazina cursor keys.
 
Asante kwa kunikumbusha, nilihudhuria sana ibada hapo in late 1990's to early 2000's
 
DUUU WE JAMAAAA INAMAANA UMESOMA UDSM ZAIDI YA MIAKA 10? since early 1990's to early 2000's...duuu MI NAWASIWASI NA DIGREE YAKO.......inaonekana ulikuwa wa kudesa sana wewe kisha kucary kwako kama kawa ...?

au UDSM IPI wewe unayoiongelea ya DSM au wapi??? au ...........

gango, hii avatar yako mh! Umekusudia nini?
 
Duh,umenikumbusha udsm miaka ya 2005,unakimbia yombo kwenda lecture alafu unatoka kule unaenda [ingenearing]?unafika lecture imeshafika nusu

teh teh, yani hapotu kaka.
dah umenikumbusha mbali jmaa!
 
Back
Top Bottom