Recent content by GANG MO

 1. GANG MO

  Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

  Naombeni kujua kuhusu kuisajiri channel TCRA. je ni wale wanaopost video za habari tu mfano millardayo ndio wanatakuwa kusajili channel zao au? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. GANG MO

  Wadau naombeni midterm test za social studies class six

  Habari ya majukumu wadau. Kwa wale walimu wanaofundisha medium schools Nawaombeni kama kuna yeyote ana mid-term test au monthly test papers za class six social studies anisaidie. Natanguliza shukrani kwenu. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
 3. GANG MO

  Zitto Kabwe: Uzalendo bora ni ule wa kuikosoa Serikali kwa manufaa ya Taifa

  Hajafanya chochote cha maana kwadababu hana mapenzi na nchi. Haya tuambie wewe mwenye mapenzi mema na nchi umefanya nini? Sent using Jamii Forums mobile app
 4. GANG MO

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Mimi nakushauri ungeanza kwa kujibu hoja za mabeberu ouhusu bashite. Wamesema anakiuka haki za binadam. Je ni kweli? Sasa kwenye andiko lako umeonesha ushabiki tu Sent using Jamii Forums mobile app
 5. GANG MO

  Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

  Watu wamekuwa ni wavivu kumtafuta Mungu wa kweli. Wanakimbilia miujiza tu. Waache wafe kwa ujinga wao Sent using Jamii Forums mobile app
 6. GANG MO

  Padri aingilia ndoa ya Stamina, awaita kanisani na mkewe

  Katika kitabu hiki Dr myles munroe kaeleza vizuri sana kuhusu ndoa. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. GANG MO

  Serikali ikajifunze toka St. Francis Sekondari Mbeya kuboresha ufaulu wa kidato cha nne

  Mimi naona st Francis ifananishwe na shule nyingine za private. Wajiulize wao wanakwama wapi? Unakuta shule ada ni milion moja afu wana four 20 na hakuna 1 wala 2 Sent using Jamii Forums mobile app
 8. GANG MO

  Utandawazi (Globalization): Adui hatari wa Afrika asiyesemwa kwa undani madhara yake

  umeanza vizuri lakin ulipoanza na hongera.................... umeharibu thread na kuwa ya hovyo Sent using Jamii Forums mobile app
 9. GANG MO

  Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

  Pua wadau kama kuna yeyote ana youtube channel. Tupeane sub 4 sub Sent using Jamii Forums mobile app
 10. GANG MO

  Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

  Ahsante kwa hii thread. Mimi nina maswali yafuatayo; 1. Je hiyo pesa unalipwa kwa interval fan? Ni kila mwez au kila wiki? 2. Kila channel ya youtube lazima isajiliwe TCRA au zile za habari tu mfano millardayo? 3. Uluchukua muda gani mpaka ukafikisha 1k subscribers? Mwisho Naomba tupeane sub 4...
 11. GANG MO

  Nisaidieni hili swali (Language 2 Advanced Level)

  Umemmjibu vema. Pongezi Sent using Jamii Forums mobile app
 12. GANG MO

  Ninahitaji mchumba wa kumuoa

  Hahahaah niliwaon but ckuwa nimejipanga kuoa. Now nipo vizur naweza timiza majukumu ya ndoa vizur kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
 13. GANG MO

  Ninahitaji mchumba wa kumuoa

  Umejuaje jaman. Yaan wapogoro ni hatari. Wanawezana wenyewe kwa wenyewe. Sie wa iringa ni ngumu sana kuendana nao Sent using Jamii Forums mobile app
 14. GANG MO

  Ninahitaji mchumba wa kumuoa

  Na form four failures Sent using Jamii Forums mobile app
Top