Recent content by Gan star

  1. Gan star

    JamiiForums Tanzania Mashuhuda: Tunasikia vilio vya mamia chini ya ardhi

    Mihemko ya kipumbavu ya kidini , alaf Kwa sasa hakuna cha Taifa teule ni ujinga mtupu
  2. Gan star

    JamiiForums Tanzania Wanaosema bandari imeuzwa wanavikosea heshima vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Hivyo Vyombo vya usalama vijitafakar tuu kama vipo Kwa ajili ya Watanzania au kundi la watu...
  3. Gan star

    JamiiForums Tanzania Simu kukata internet iwapo kwenye Call

    Main response ya simu ni call, call ndo inachukua uwezo mkubwa wa simu, so other applications lazima zihang. At the same time, ila wanaendelea kuziongezea uwezo matoleo yanayokuja, naamini yatakata kiu yako.
  4. Gan star

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti; Wanawake 7 kati ya Watu 10 ni Wapiga Vibomu.

    Hamna namna tafta mmoja uoe , akupige vizinga huyo huyo ukitaka wengi wengi wote lazima wakupige vizinga...
  5. Gan star

    JamiiForums Tanzania Mamlaka kuweni makini kuna mamluki wanataka kuleta fujo na kuisambaratisha amani yetu

    Bandari ni yetu hata kama tukijiibia ni Sisi , sasa wewe unampa jamaa ili aibe apeleke uarabuni , haijulikani vyema kama akili zako kama ziko sawa au zimejaa kinyesi
  6. Gan star

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wangu Ni Mzuri, Wako Ni Mzuri? Heshima Kwa Wote Mnaomiliki Pisi Kali Kama Hii

    Mama Joan amepata replacement😁😁😁
  7. Gan star

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

    Ni mbongo yupo kariakoo
  8. Gan star

    JamiiForums Tanzania DP World yawafungia watanzania kwenye ukurasa wa Instagram

    Tumia VPN
  9. Gan star

    JamiiForums Tanzania Napenda kuuliza , endapo Muungano ukavunjika je mikataba nayo itavunjika ??

    Mi nimeuliza swali
  10. Gan star

    JamiiForums Tanzania Napenda kuuliza , endapo Muungano ukavunjika je mikataba nayo itavunjika ??

    Wakuu napenda kuuliza , hv Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika , je mikataba ambayo ilisainiwa Kwa idhini ya Tanzania nayo itavunjika ??? Wenye uelewa naomba wanijuze
  11. Gan star

    JamiiForums Tanzania Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

    Mbona Micho hakupoteana
  12. Gan star

    JamiiForums Tanzania Yanga yaachana na Winga Tusila Kisinda

    Kwamba tuisila ana miaka 23 😁😁😁😁😁
  13. Gan star

    JamiiForums Tanzania Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

    Yaani kwangwaru haipo ? Na hata starehe ya ferooz hamna , We jamaa wewe utakuwa mvuta bangi
Back
Top Bottom