Mashuhuda: Tunasikia vilio vya mamia chini ya ardhi

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,994
8,370
Waandishi walioko mstari wa mbele kwenye vita ya waisrael na magaidi ya Hamas, wanasema wanasikia sauti za mamia ya wanamgambo wa hamas wanaopiga kelele za uchungu.

Ikumbukwe raia wema wanaopenda amani walikwishwa tii amri ya kuhamia sehemu salama ya las mwa gaza.

Jeshi la israeli linachukulia waliobaki na kujificha chini ya mahandaki ns Hamas. Hamas wanasubiri usaidizi wa hezbollah.

Credit: AFP
 
tupunguze udini wakuu, sisi wote ni ndugu hakuna cha muislamu wala mkiristo, mimi ni muislamu lakini nimelelewa na wakiristu na hata nilipokuwa napitia machungu na changamoto za kidunia wakiristu walikuwa mstari wa mbele kunifariji.......nakumbuka miaka flani hapo nyuma nilikuwa chuoni na nilikuwa nafanya biashara kwa kushirikiana na jamaa mmoja muislamu kutoka zanzibar kwa bahati mbaya ile biashara nilipata hasara kubwa, jamaa hakuamini alijua nimemzunguka akaenda kunishtaki chuoni eti mimi ni taperi, kile chuo kilikuwa kinamilikiwa na wakiristu walinilinda mpaka nikamaliza chuo japo nakumbuka jamaa alikimbilia polisi
 
Mihemko ya kipumbavu ya kidini , alaf Kwa sasa hakuna cha Taifa teule ni ujinga mtupu
 
tupunguze udini wakuu, sisi wote ni ndugu hakuna cha muislamu wala mkiristo, mimi ni muislamu lakini nimelelewa na wakiristu na hata nilipokuwa napitia machungu na changamoto za kidunia wakiristu walikuwa mstari wa mbele kunifariji.......nakumbuka miaka flani hapo nyuma nilikuwa chuoni na nilikuwa nafanya biashara kwa kushirikiana na jamaa mmoja muislamu kutoka zanzibar kwa bahati mbaya ile biashara nilipata hasara kubwa, jamaa hakuamini alijua nimemzunguka akaenda kunishtaki chuoni eti mimi ni taperi, kile chuo kilikuwa kinamilikiwa na wakiristu walinilinda mpaka nikamaliza chuo japo nakumbuka jamaa alikimbilia polisi
Kuja tu duniani, ni mpango kamili wa Mungu, hayo mengine tuwaachie wafia wadini wasiojua thamani ya ubinadamu

Hakuna dini iliyofuaswa na wanyama! Kote kote kuna wanadamu wale wale walioumbwa na Mungu yuleyule mmoja!

Nimekuelewa Ostadhi
 
tupunguze udini wakuu, sisi wote ni ndugu hakuna cha muislamu wala mkiristo, mimi ni muislamu lakini nimelelewa na wakiristu na hata nilipokuwa napitia machungu na changamoto za kidunia wakiristu walikuwa mstari wa mbele kunifariji.......nakumbuka miaka flani hapo nyuma nilikuwa chuoni na nilikuwa nafanya biashara kwa kushirikiana na jamaa mmoja muislamu kutoka zanzibar kwa bahati mbaya ile biashara nilipata hasara kubwa, jamaa hakuamini alijua nimemzunguka akaenda kunishtaki chuoni eti mimi ni taperi, kile chuo kilikuwa kinamilikiwa na wakiristu walinilinda mpaka nikamaliza chuo japo nakumbuka jamaa alikimbilia polisi
Inawezekana aliyeandika uzi huu ameedit content, ila mimi kwa hiyo iliyopo sijaona udini. Na kama ameedit haitakuwa vizuri maana anamislead michango ya watu katika uzi wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom