Ndoa au mahusiano si gereza. Watu wawili wanapofikia mahali ambapo hawawezi tena kuishi kwa amani, kuheshimiana na kutengeneza tofauti zao, kutengana kwa amani ni bora kuliko kuvumiliana mpaka chuki na kisasi vifike kwenye kiwango cha kuumizana au kuuana. Watoto hawapaswi kuwa wahanga wa vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.