🙄Wakati unamuoa? Alijifilter live
🙄Wakati unamuoa? Alijifilter live
VP shem mbona unabinua macho🙄
Mwanamke akiwa mchafu inakera sana unajikuta hata hisia za tendo zinapoteaHeri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekuwa mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale, binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja, hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakuwa safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiyejali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hapo umenenaFanya hizo kaz mwenyew, usipende uchafukwe roho kwa vitu unavyoweza kufanya mwenyew.. baada ya muda ataona aibu atabadilika tu
Wakati unamchumbia hukupna huo uchafu?Heri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekuwa mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale, binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja, hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakuwa safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiyejali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
kumbadili mtu tabia ni suala polepole na linahitaji mbinu kadhaa,usikate tamaaHeri ya X-mass in advance

Nilii-copy ili nikaisome kiundani huwezi amini, kama ni tatizo inawezekana basi ninalo, napata tabu mno mno kuishi na watu waliopo disorganized,Inawezekana pia, nami nina tatizo same same..Nimekua mkubwa ndio nikagundua ni tatizo.
Asipojicontrol atagombana sana na watu.. Mi siku hizi nimeweza kucontrol... hata watu wakifanya uchafu nawaacha muda ukifika najifanyia zangu. Zamani ilikuw ukichafua mimi nasafisha muda huo huo. Ni mateso kwa kweli!
Heri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekuwa mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale, binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja, hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakuwa safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiyejali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kuna mwanamke nilipanga kumuoa ko ikabidi nimchukue niishi nae kwangu kama mchumba wangu ndipo nilipogundua kuwa mwanamke nilienae n mchafu sana Wala hajali n mchafu uliopitiliza ko nikajitahidi kumfundisha usafi bila kumsema vibaya lkn haikuzaa matunda na nikaja kuhundua kuwa hawez kubadilika ko ilibidi nitafute sababu nikamuweka pemben maana ilifika kipnd hata kushiri nae tendo hamu haipo kabisaaHeri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekuwa mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale, binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja, hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakuwa safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiyejali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Huyo ni muha au muangaza huyoHeri ya X-mass in advance

House maid ndo akundike kitanda..?? Na ubaya mama mwenye nyumba ukiwa mchafu hata house maid akiwa mchafu huoni unaona ni kawaida tu.Mengine tunayaendekeza sisi wanaume. Kulalama kukicha. Kwanini usiweke House Maid anayejitambua, akafanye kazi zote ingawa mshahara huwezi kutoa chini ya 200,000 kwa mwezi.
Of course yes! Kwani kutandika ndiyo kulala naye. Anatandika hata nguo za ndani anafuaHouse maid ndo akundike kitanda..?? Na ubaya mama mwenye nyumba ukiwa mchafu hata house maid akiwa mchafu huoni unaona ni kawaida tu.
MuhaHuyo ni muha au muangaza huyo
OCD final Boss 😅Nilii-copy ili nikaisome kiundani huwezi amini, kama ni tatizo inawezekana basi ninalo, napata tabu mno mno kuishi na watu waliopo disorganized,
hapo uliposema mtu akichafua unasafisha hapo hapo that's typically Me, mtu anafanya kitu narekebisha after her instantly, nikienda kwa mtu naona kasoro zote zinazohitaji marekebisho ya usafi na mpangilio in a second, na ni tabia ya My Mom ndipo nilipoibeba..!
Mwenye OCD mwenzetu huyu hapa. 😅Ndo maana wengine tunakua addicted kuishi peke yetu tu.
Iwe ofisini au nyumbani sipendi kabisa vitu kuwa kwenye mvurugano, hata kwenye PC yangu kukiwa na tabs au windows nyingi za program zipo wazi nakua uncomfortable kabisa.
Na shida watu wengi wanadhan usafi ni kuoga tu na kufua, mpangilio wa vitu pia ni usafi.
rafiki zangu wakija kwangu unajua ile mtu anagusa kitu kwenye dressing table halafu hakirudishii kilivyokuwa namaindi najikuta nishaenda kupanga, naambiwa nataka vitu vikae kama dukani kama ni logo za products zooooote zigeukie mbele..!!OCD final Boss 😅
Pole dada, Jitahidi kucontrol ama sivyo utakuwa utakwazika hasa likija suala la kuishi na mwanaume na familia kwa ujumla, Unajua wanaume tabia yao, anavua shati anaacha kitandani, boxa chini, akiingia bafuni kunyoa ndevu unakuta kioo chote cha bafuni kimejaa nywele 😅