Baadhi yetu tunaangalia upande mmoja wa shilingi. Lakini kufiwa acha kabisa! Hata uwe mwanaume au mwanamke,na hata uwe kicheche au usiyetulia namna gani,kufiwa na mpenzi wako yule main,acheni kabisa! Huyo dogo yamemkuta makubwa kuliko umri wake. Msisahau marehemu alikuwa mpenzi wake. Msisahau!
Mi nimepata message kuwa namba yangu imepewa ofa ya bima ya afya kwa mwezi mzima wa Aprili. Na nikapewa no niipige kwa maelezo zaidi.
Huwa sipendi kusubscribe kiholela vitu nisivyo na ulazima navyo. Mtu atuelimihe kuhusu hili kwa kweli
Jamani mnajadili tu kwa info mlizozipata kutokea wapi? mmeenda taasisi zinazohusika na mafuta na gas asilia? au mnaongeaongea tu...
Ndiyo shida ya kuyapeleka mambo kisiasa hayo.JK mwenyewe alipata kuahidi kuwa patajengwa pwr plant Mtwara na kiwanda cha kuishughulikia hiyo raw gas kuwa umeme.
Na...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.