Download free JF application for Blackberry

Kwangu nifanyeje maana naona options nne,ya review,recommend,na screenshotos. Labda na ya contact support tu basi.Ya kudownload siioni wakuu..
 
Mkuu hii kitu kwangu imegoma kabisaa sijui wengine kama inafanya kazi,leo siku nzima imenigomea kabisaa siku ya leo
 
Mkuu,

Hata mimi kwangu imegoma kabisa kufunguka toka jana labda Young Master anaweza kutusaidia

Cc: Invisible

Nikajuwa ni mimi tu kumbe na wewe pia, ilikuwa inasaidia sana kuingia humu, now nashindwa kabisa kuingia kwa kutumia simu, maana inabidi nitumie normal tu ila inakuwa slow, so mkuu Invisible fanya something basi ili tuweze kwenda sawa
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Papizo, Rapherl na wanaJF wote, baada ya kuitest application hiyo nimegundua kweli kuna tatizo na nimelifikisha tatizo lenu kwenye uongozi wa JF ili liweze kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza. Tunaomba muwe wavumilivu wakati tunatafuta ufumbuzi wa hili swala na tutawajulisha pale mambo yatakapokaa sawa. Asante.
 
This should be fine now.
 
Asante sana wakuu......
 
nina blackberry storm ila kinachonisumbua nikwamba upandewa internet inasumbua. aitaki kufungua atakama nikijiunga vifurushia. nifanye kitugani ikubali?
 
Back
Top Bottom