Recent content by Gamaliely mosha

  1. G

    JamiiForums Tanzania Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

    Dah masikini kwann hakujifunza kwa Mziwanda? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hii video imenitoa machozi huu utawala haufai kabisa

    Maafa hayajakukuta ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

    Sasa badala ya mume kuwa mlevi eti mke ndio mlevi si maajabu ya karne hayo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kubadili Dini kwa Ajili ya Ndoa

    Kwahiyo mkuu allah unayemuabudu ww ni tofauti na anayeabudiwa na wagalatia? Huko ni kujiona ww upo sahihi kwa mungu na wenzio sio sahihi jambo ambalo na wenzio watakuona haupo sahihi bali wao wapo sahihi
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wanaume wenzangu

    Hakuna hizo mila za kijinga bana,hapo tatizo jamaa hasimami kama mwanaume ww utaachaje mkeo akakae kwao miezi miwili? Lipo tatizo si bure
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu Apandishwa Tena Kizimbani Kisutu leo

    Mimi naona ww ndio unamzalilisha kwa kumuongelea maneno ya zarau,lakini ukweli hana kibaya cha kumzalilisha
  7. G

    JamiiForums Tanzania Freema Mbowe, Halima Mdee, wahojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge

    Kwahiyo nawe ni mmoja wa hao raba stamp,maana kwa kuyajua yote hao nawe upo kwenye vikao vyao
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya pasaka watu wamekuja na msuko mpya kazi kwenu

    Sasa hii si azabu jamani
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nitatoa zawadi ya 200,000

    Ni rahisi kumpata nenda kwenye kituo cha mtandao unaohusika watatazama mawasiliano yake ,kisha mtamtafuta ndugu yake yeyote waliyekuwa wanawasiliana sana ,kwa vitisho vya police atasema alipo huyo mwizi
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amezalishwa na madaktari wadogo roho inaniuma

    Ni vitoto vidogo lakini wamesomea ndio kazi yao hiyo,nina shaka mkeo hata sokoni haendagi
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    Mchunguze vizuri mkeo huenda ana urafiki na mashoga
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kile kinachofanywa na watoa mapepo ni cha kutengenezwa

    Ndio maana kila mtu anafikiria kuanzisha kanisa lake
  13. G

    JamiiForums Tanzania Sakata la viroba: Wafanyabiashara nendeni Mahakamani

    Hii ndio africa bana kupata haki ni ndoto za mchana wa jua kali
Back
Top Bottom