C Criterion JF-Expert Member Jan 8, 2008 11,797 11,891 Apr 5, 2017 #3 Boloyoung said: Click to expand... Wewe. Sema kuelekea Idi. Haya mambo hayawiani na pasaka.
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 40,773 99,359 Apr 5, 2017 #7 Boloyoung said: Click to expand... Hii ni urembo ama uganga wa kienyeji......
Dragoon JF-Expert Member Nov 24, 2013 7,012 8,138 Apr 6, 2017 #9 Hii style itafaa sana kwa akinadada waishio ulaya walikopiga mafufuku uvaaji ya mavazi yanayoziba uso (hijab)
Hii style itafaa sana kwa akinadada waishio ulaya walikopiga mafufuku uvaaji ya mavazi yanayoziba uso (hijab)
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,958 2,954 Apr 7, 2017 #13 Tabby said: Wewe. Sema kuelekea Idi. Haya mambo hayawiani na pasaka. Click to expand... ID HAI HUSIAN.NA KUFICHA SURA NA MWILI KUWA WAZI MKUU
Tabby said: Wewe. Sema kuelekea Idi. Haya mambo hayawiani na pasaka. Click to expand... ID HAI HUSIAN.NA KUFICHA SURA NA MWILI KUWA WAZI MKUU
C Criterion JF-Expert Member Jan 8, 2008 11,797 11,891 Apr 7, 2017 #14 NZURI PESA said: ID HAI HUSIAN.NA KUFICHA SURA NA MWILI KUWA WAZI MKUU Click to expand... Tena huko ndiko haswaaaaaaaaaaah!
NZURI PESA said: ID HAI HUSIAN.NA KUFICHA SURA NA MWILI KUWA WAZI MKUU Click to expand... Tena huko ndiko haswaaaaaaaaaaah!
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,007 Apr 12, 2017 #16 kusuka hiyo style utaambiwa 200k