Recent content by gamale

  1. gamale

    Natafuta Kazi nimesoma Clinical medicine

    Asante kwa ushauri mkuu
  2. gamale

    Natafuta Kazi nimesoma Clinical medicine

    Mimi nipo mkoa wa shy ila popote napiga kazi mkuu
  3. gamale

    Natafuta Kazi nimesoma Clinical medicine

    Kinadhalia ni nyingi mkuu ila kuipata ni kazi km una sehemu unapafahamu nijulishe mkuu.
  4. gamale

    Natafuta Kazi nimesoma Clinical medicine

    Hapana mm sijachagua kazi mkuu nimemaliza August ndo nimeanza kutafuta kazi.
  5. gamale

    Natafuta Kazi nimesoma Clinical medicine

    Asante sana mkuu,mimi ni fresh from school, from Sengerema health institution, naweza kufanya kazi zifuatazo; kutibu OPD,kushona majaraha madogo na makubwa,kuzalisha(cephalic and breech),post abortion management,post operative management, kutaili, assisting major operations, RCH. na kaz...
  6. gamale

    Natafuta Kazi nimesoma Clinical medicine

    Mkuu details zote kuziandika humu ni ngumu ila km kuna mtu anahitaji mtu aina yake ataomba CV yangu sijui km niko sahh
  7. gamale

    Natafuta Kazi nimesoma Clinical medicine

    Nimesoma diploma in clinical medicine. mimi ni fresh from school, from Sengerema health institution, naweza kufanya kazi zifuatazo; kutibu OPD,kushona majaraha madogo na makubwa,kuzalisha(cephalic and breech),post abortion management,post operative management, kutaili, assisting major...
  8. gamale

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mmmmmh hii inaitwa kunya Mimi niharishe.
  9. gamale

    Incubators: Changamoto zake, Jinsi ya kupata ufanisi mzuri na mafanikio zaidi kwenye incubator yako

    Kwa yeyote anaefahamu kuhusu incubator,upatikanaji wake,namna ya kuitumia na ubora wake. Pia kama zipo za SIDO. Asanteni
Back
Top Bottom