sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 632
- 571
Jinsi ya kutengeneza Incubator Isiyotumia Umeme.
Clay incubator
2.tengeneza Frame ya Incubator pande mbili.
3.Tengeneza Tray itayobeba mayai tumia (tumia way mesh yenye matobo madogo). tray iwe nakigo za kuzuia mayai kuanguka, kingo iwe ya wood.
width x height 50cmx60cm = 150eggs.
12cm x 1m = 200eggs.
12cm x 1.5m = 300eggs.
12 cm x 2m = 400eggs.
2. tengenza support ya Tray.
3. tengeneza support ya pili kwa ajili ya kuzuia sehemu ya juu itayofunikwa.
4. urefu toka chini ground.mpka kwenye Tray ni 20Cm
5.weka mchanga sehemu ya chini (ground) mchanga uwe na cm 2- 3 urefu.
6.sehemu mchanga upo mpaka sehemu ya juu kuwe na urefu wa cm 55jumla.
7.Zingatia urefu wa Taa ya chemli utayo tumia baadhi ni ndefu sana.
8.Tengeneza roof ya incubator kwa kufunika na Mchanga au matope (parment).
9. Sehemu ya mbele ya Incubator yako ifunikwe na Nailon Nyeusi ambayo imeshikizwa katika roof ya incubator.
10. Weka Mayai yako na uyaweke alama na ili wakati wa kugeuza usije sahau .
11. Washa chemli (uwe na thermomet ili kubalance joto iwapo litakua chini ongeza mwanga wa chemli,ikiwa litakua juu punguza mwanga wa chemli joto liwe 37- 39 C
12.Funika Incubator yako.
13 mayai yageuzwe walau mara mbili kwa siku.