Kipi chuo kizuri kusomea Clinical Medicine au Laboratory Technology?

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
499
206
Habari,
Naomba kama unajua chuo kizuri kinachotoa kozi za Clinical Medicine( Clinical officer) au Laboratory Technology kwa hapa Dar es Salaam.

Niambie ni kipi na kipo wapi ikiwezekana na contact info.
Asante.
 
Njoo Iringa mkuu,Chuo cha RUCU zaman RUCO...wanatoa course ya Medical laboratory diploma na certificate.Pia wanatoa Diploma ya Phamacy
 
,weka fees structure mkuu kwa diploma na certi pia
 
Habari zenu wana JF

Naomba ushauri juu ya chuo bora,naitaji kusoma clinical medicine lakn cjafaham n chuo gan kizuri naweza soma,Kiwe ni cha serikal au hata cha private muhimu tu kiwe ni chuo bora,kwa cox tajwa
 
Nenda Machame School of Clinical Officers.

Inamilikiwa na Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini. Ni chuo kizuri sana. Ada yake siyo less than 3million per year.
 
Hey habari zenu guyz
Clinical medicine applicants tufahamiane jamani & tujuzane vyuo bora vya kozi hiyo.
 
Back
Top Bottom