Recent content by GALLABA

  1. G

    JamiiForums Tanzania DAS Asenga alitangaza ziwa 'Chala' Rombo

    Akimsikia Lijualikali..presha inampanda vibaya mnoooooooo
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Mh. Mwigulu alikuwa anamwambia nini Rais?

  3. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tunahitaji Rais Mwanasheria

    Kutokana na hali halisi, Chanzo cha Umaskini na Wizi ni mikataba mibovu, sera ya uwekezaji ni nzuri ila tumepata wawekezaji wabovu na wametufunga na kutusainisha mikataba mibovu hasa kwenye sector ya madini,gesi na rasilimali mbali mbali na hivyo kujikuta Nchi ni Maskini,...na mpaka sasa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

    Sio tuendelee kuibiwa, if you can't defeat them join them
  5. G

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Prof.Sospter Muhongo ni mtendaji na si mwanasiasa ni mtu wa principles, tumeona mafanikio yake kama waziri wa nishati na madini, kwenye hili sector ya umeme hasa usambazaji wa umeme vijijini REA.. Prof.Muhongo ni kama mchezaji mpira mahiri inawezekana timu anayocheza haindendani na mapenzi yake...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Vicent Mashinji yuko wapi?

    Anajenga chama, sasa ni dhama za kiintelejisia zaidi sio kupayuka payuka na kuonyesha silaha zako zote
  7. G

    JamiiForums Tanzania Chakula cha ubongo: Lumumba University vs Ufipa University

    LUMUMBA UNIVERSITY +Staff list VC-KINANA...DIP.KIVUKONI,MILITARY SCIENCE DVC-MPOGOLO -Faculty of law Dean.Vacant -Faculty of Social science@Politics Dean.Pole pole..dip -Faculty of Commerce Dean.Vacant -Faculty of Mass commmunication Dean.Thadei Ole Mushi David Maphone -Faculty of...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa aliwapa CUF wabunge 9 bara. Je, Prof. Lipumba wangapi?

    Hayo ni mafanikio ya Uchaguzi,
  9. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa aliwapa CUF wabunge 9 bara. Je, Prof. Lipumba wangapi?

    Sio mawazo ya kijinga ni masuala ya facts, shida CCM mnapenda number lakini hamjui kuzisoma
  10. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa aliwapa CUF wabunge 9 bara. Je, Prof. Lipumba wangapi?

    Nimeshangazwa na msomi mahiri wa uchumi, prof.Lipumba kunena kwamba 'ilikuwa mzigo kumnadi Lowassa kwenye uchaguzi 2015' na vile vile ''aliitwa na wanachama kuja kuikomboa CUF'' naomba niweke mafanikio ya CUF chini Lipumba kama mgombea uraisi na mafanikio ya Lowassa kama mgombea uraisi Lowassa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni wabunge wapi usingependa kuwaona bungeni na kwasababu ipi baada ya uchaguzi wa 2020

    Kutokana na mienendo yao sasa hv, ni wazi wabunge wafuatao ni ngumu kurudi tena bungeni ama waapata changamoto nyingi sana kurudi bungeni 1.Saed Kubenea(Ubungo): huyu amewaangusha sana upinzani tulitegemea alete changamoto nyingi sana bungeni awe front line na kina tundu lissu,mbowe na mnyika...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa na Wilaya ziwe ceremonial posts

    Kutokana na kauli ya waziri kairuki kwamba mkuu wa mkoa au wilaya awe anajua kusoma na kuandika tu, napenda kushauri ziwe ni ceremonial posts yaani kazi ya kukata utepe tu na kuhudhuria sherehe na matamasha, lakini sio 1.Kufanya maamuzi mazito ndani ya halmashauri mf.Mh.Gambo na madiwani...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kambaya wa CUF-Lipumba atiwa mbaroni

    Fitna ? Ukweliiiiii From a fulstrated professor to a looser in politics, failure in life
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kambaya wa CUF-Lipumba atiwa mbaroni

    Huyu ni mission town ambaye mwaka 2015 alianguka vibaya kwenye kura za maoni ubunge CUF kinondoni kwahiyo hana mbele wala nyuma kwahiyo ndio anaishi kupitia mgogoro wa CUF
Back
Top Bottom