BungelaKatiba2014tz
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,231
- 649
1. Kuna mgogoro ndani ya CHADEMA kiasi cha kumfanya Mashinji akate tamaa ya kazi?
2. Au Mshinji yuko kambi moja na Tundu Lissu na hivyo Mbowe kuamua kumpoteza ili asihatarishe nafasi ya kiti?
3. Mashinji ameshindwa kutimiza malengo aliyoteuliwa kwayo ya kuhakikisha anaisambaratisha ngome ya Magufuli Kanda ya Ziwa?
4. Ameshindwa kuvaa viatu vya Katibu Mkuu wa zamani, Dr. Wilbroad Slaa?
Ingependeza kama uongozi wa Chadema ungetuondoa hofu juu ya alipo Katibu weru mkuu.