Kambaya wa CUF-Lipumba atiwa mbaroni

GALLABA

Member
Dec 19, 2016
63
119
upload_2017-4-28_14-49-13.jpeg
Mwisho wa ubaya aibu

Kambaya wa CUF-LIPUMBA atiwa mbaroni, source mwananchi online
baaday ya tukio la kuvamia mkutano halali wa CUF uliofanyika mabibo chini ya mwenyekiti wa wilaya, ambapo wafuasi wa CUF na waandishi wa habari walipigwa na kudhalilishwa.

USHAURI KWA : magdalena Sakaya na Maftah Nachuma, bado mna bright future a fulstrated professor and a looser politician Prof Lipumba asiwaaribie ndoto zenu za kisiasa, sasa timu ya lipumba inaishi kwa uongo na ulaghai hadi sasa mfadili wao CCM amewageuka baada ya kuona anayemwezesha hana dili tena

upload_2017-4-28_14-53-41.jpeg
upload_2017-4-28_14-54-4.jpeg
 
Attachments

  • upload_2017-4-28_14-48-58.jpeg
    upload_2017-4-28_14-48-58.jpeg
    7.2 KB · Views: 30
View attachment 502176Mwisho wa ubaya aibu

Kambaya wa CUF-LIPUMBA atiwa mbaroni, source mwananchi online
baaday ya tukio la kuvamia mkutano halali wa CUF uliofanyika mabibo chini ya mwenyekiti wa wilaya, ambapo wafuasi wa CUF na waandishi wa habari walipigwa na kudhalilishwa.

USHAURI KWA : magdalena Sakaya na Maftah Nachuma, bado mna bright future a fulstrated professor and a looser politician Prof Lipumba asiwaaribie ndoto zenu za kisiasa, sasa timu ya lipumba inaishi kwa uongo na ulaghai hadi sasa mfadili wao CCM amewageuka baada ya kuona anayemwesha hana dili tena

View attachment 502177View attachment 502178

Magdalena Sakaya atakuja kukumbuka shuka asubuhi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
View attachment 502176Mwisho wa ubaya aibu

Kambaya wa CUF-LIPUMBA atiwa mbaroni, source mwananchi online
baaday ya tukio la kuvamia mkutano halali wa CUF uliofanyika mabibo chini ya mwenyekiti wa wilaya, ambapo wafuasi wa CUF na waandishi wa habari walipigwa na kudhalilishwa.

USHAURI KWA : magdalena Sakaya na Maftah Nachuma, bado mna bright future a fulstrated professor and a looser politician Prof Lipumba asiwaaribie ndoto zenu za kisiasa, sasa timu ya lipumba inaishi kwa uongo na ulaghai hadi sasa mfadili wao CCM amewageuka baada ya kuona anayemwezesha hana dili tena

View attachment 502177View attachment 502178
Wasisahau na lile gaidi la mapanga lililokata mtu kisigino.
 
Ni sawa usikie kakamatwa makonda , labda kama katunzwa tu , Unaambiwa polisi wanamuogopa Kambaya vibaya mno !
 
Kweli Sakaya ameshajiaribia kwani Watanzania sio wale waliokuwa wanawadanganya.
 
Wanazuga nae kwa muda then wanamwachia...

Kama wapo serious na hii issue huyu alipaswa leo hii awe ameshaziona nondo za mahabusu akiwa anatokea mahakamani.
 
Huko ni kutuzuga tu baada ya muda utasikia kaachiwa.
Inawezekana hata akawa ameenda mwenyewe kituo cha polisi kutoa maelezo ya kuwatetea hao ambao polisi wanawashuku kufanya uharifu huo. Maelezo alishayatoa kwenye vyombo vya habari lakini ili yaweze kufanyiwa kazi sehemu sahihi kuyawakilisha ni kwenye kituo cha polisi. Kwa hiyo kaenda pale kusaidia polisi.

Tatizo letu ni kuwa tukiona mtu yuko kituo cha polisi akiandikisha maelezo basi tunasema ametiwa nguvuni? Mtu kutiwa nguvuni anakuwa na pingu au yuko lock up = has been arrested.
 
Naibu Waziri amesema Cuf walihusika kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi kule Zenji na kuna viongozi watakamatwa, Kama una akili utaelewa kifuatacho
 
Back
Top Bottom