Tafakari: Mh. Mwigulu alikuwa anamwambia nini Rais?

GALLABA

Member
Dec 19, 2016
63
119
upload_2017-5-29_13-33-10.png
 
hivi kumbe huyo mpambe anaweza kusikia chochote hata kama raisi anapenyezewa taarisfa nyeti zaidi ya nyeti zenyewe?

maana kwa huo ukaribu nahisi anadaka kila kitu
 
Mwigulu anaweza kufanya kazi nzuri. Asijaribu kuwa royal kwa waliombeba huko nyuma ....issues za kuwa royal zimeangamiza mno maslahi ya taifa ...yeye bado ana future ndefu kisiasa ....apige kazi ...atuoneshe tunaweza kumuamini baada ya JPM ....mfano ni JPM ...alikuwa mtii kwa kila nafasi aliyopewa ingawa zingine zilikuwa za kumtoa kwenye reli ....lakini alichapa kazi hadi kwenye uvuvi huko ....
 
Umenena vyemaaaaa... Hana haja ya kulipa fadhila kwa mafisadi. Rais tunae ambae yuko mstari wa mbele kuwapinga mafisadi...
 
Mzee kuna kipindi walitutuhumu eti "watu wa Singida" ndio tuna injinia fujo na kero kwa nchi hii, walisema eti mimi, Mangu, Lisu na Kitila.
 
Unavopanga na kupangua...nahisi sio mda mrefu ntakuwa simo mzee chondechonde........
 
Mwigulu anaweza kufanya kazi nzuri. Asijaribu kuwa royal kwa waliombeba huko nyuma ....issues za kuwa royal zimeangamiza mno maslahi ya taifa ...yeye bado ana future ndefu kisiasa ....apige kazi ...atuoneshe tunaweza kumuamini baada ya JPM ....mfano ni JPM ...alikuwa mtii kwa kila nafasi aliyopewa ingawa zingine zilikuwa za kumtoa kwenye reli ....lakini alichapa kazi hadi kwenye uvuvi huko ....

Kuwa "royal" ina maana gani kwa muktadha wa bandiko lako mkuu?
 
Back
Top Bottom