Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,306
- 25,929
Fact No. 1: CCM na CHADEMA zimeamua kuanzisha Vyuo Vikuu vya kisiasa na nyanja nyinginezo.
Fact No. 2: Chuo Kikuu cha CCM kinaitwa Lumumba University. Cha CHADEMA kinaitwa Ufipa University.
Fact No. 3:Wahadhiri ni viongozi na wanachama wa sasa wa CCM na CHADEMA kwa Lumumba University na Ufipa University kama zilivyotajwa.
Fact No. 4: Waombaji,wanafunzi watarajiwa,wanavutiwa na uwezo wa kujenga hoja,uwezo wa uvumilivu wa kisiasa,ubunifu na ubora wa elimu watakayoipata.
Chuo Kikuu kipi kati ya Lumumba na Ufipa kitapata wanafunzi wengi,hata kama ada na gharama nyinginezo ziko sawa?