Recent content by Galie

  1. G

    JamiiForums Tanzania Bei ya ufuta mwaka huu ni majanga

    Kilimo ndio fursa yenye tija kubwa kwa sasa na siku za usoni! Ila usilime kwa kujaribu au kwa mkupuo mmoja utarajie kupata faida ya kusimulia miaka yote!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron atangaza kujiuzulu baada ya Uingereza kujitoa EU

    Hongera UK kwa kuheshimu matakwa ya wananchi wenu! Msiogope kukabili mabadiliko mlio chagua wenyewe
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kutoka January hadi Machi watu 30,000 waachishwa kazi sekta binafsi

    Wafunge wakajipange upya wakijua kodi ni lazima ndo kuwepo uendelevu wa hizo biashara
  4. G

    JamiiForums Tanzania ZUKU TV mbioni kunipoteza mteja mimi

    Zuku wanaboa sana hususani kwenye local chanel na katika kifurushi chao cha 25000 ukilipia 24990 hupati huduma
  5. G

    JamiiForums Tanzania Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Unatakiwa kuwa na mtazamo chanya kumwelewa Masanja meseji sent
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Namna nzuri ya kupata fursa ya kufanya tathmini siku 100 zimepita style ya kutumbua majipu imevuna tija kiasi gani au imefeli kiasi gani? Tuendeleeje mbele. Kwa hiyo tusiweweseke JPM anatosha!
  7. G

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya kwa mwezi trilioni 1.7

    Hongera sana Mr President!
Back
Top Bottom