Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,559
- 12,324
Toka January hadi march tu.
Namba imeanza kusomeka
Namba imeanza kusomeka
Thanx kwa moderator amerekebishaRekebisha hapo mkuu, ni namba sio nimba.
Yeye si ndio bingwa wa kutorosha makontena 1000Hata kwa Bakhresa wafanyakazi wamepunguzwa kwa mamia.
Inaonyesha makampuni mengi yalikuwa yanakwepa kodi, sasa baada ya mkazo wa TRA hasara ni kubwa kuliko faida, wafanyakazi lazima wapunguzwe tu
Bora kuwa na makampuni machache yanayolipa kodi kuliko mengi lakini kodi hewa...
Ni mpito tu mambo yataeleweka siku za usoni...
Hakuna namna
Mfano kusema makontena yamepungua bandari...wakati mapato ya serikali yanaongezeka ni obvious kuwa wale waliojipunguza ni wakwepa kodi...waende kwa usalama...kama vipi wakajipange upya waje kimtazamo wa kulipa kodi