Recent content by gakato

  1. G

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa, asimamishwa Vikao viwili vya Bunge

    Kubenea si ana ushahidi angempa mbuge mwenzake???? Teh Teh Teh Teh:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kaka picks his dream XI

    Put him in your best xi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mchungaji Msigwa, acheni chuki za kitoto kwa Zitto

    Jamani gazeti lenyewe lililoripoti mmelisoma?.. Ni Habari Leo... Msibishane bila kujua source... Habari Leo linapenda sana kumfuatafuta Tundu Lisu....
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Hapa sijaona jipya zaidi ya kurudia kauli zilezile... maisha mema ACT...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    Uwezo wangu wa kufikiria hauna mashaka ila nina wasiwasi na nyinyi mlioshikiwa akili na huyo Maasai...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    Shida yako shule...mgonjwa anaonekana hata kwa macho tu hasa mtu anayemfahamu kwa muda mrefu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    We can not bank on a "dying" president!! the guy is sick wajameni...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Chronological History of man in Tanganyika (now Tanzania)

    Kwa sisi wana historia huwa tunaogopa sana eti kusema hii ndio "chronological history of Tanzania." Kwa sababu kubwa kuwa historia haihusishi matukio tu inahusisha na 'processes' nyingi zaidi. Nirudi katika the so-called chronological history of Tanzania; Mambo mengi ya msingi yameachwa kwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe utajiri wa Lowassa ameupata kupitia njia hii ngoja mimi nijaribu nione kama ntakuwa kama yeye

    Just a bothering Tanzanian...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe utajiri wa Lowassa ameupata kupitia njia hii ngoja mimi nijaribu nione kama ntakuwa kama yeye

    Throw your naked eyes on AICC; Ministries of Water and Livestock and also Land; Richmond and so forth, you shall get a bare truth about his wealthies. Do not also aignore DC's complains on his three years as a PM (I am told every DC was imperatively forced to pay him 3 mill when he was in his...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    I am afraid you have a brain handicap! Can't you understand even that pretty simple swahili lady? The glimpse of my post was that Mnyika has not completed his study due to unethical and political (not academic) propaganda at UDSM which are CCM biased. Generally I suported Mnyika's defence. Dont...
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

    Hizi ni busara zangu kabisa! Born wise
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    Naweka rekodi sawa "Mwakyembe hajawafukuza kazi wale watumishi ila wamewatoa pale airport na kuwataka kurudi kwenye wizara zao na kama vipi wachukuliwe hatua stahiki huko"
  14. G

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Sasa unabisha nini wewe? huyu ni mbunge wa mahakama kwani wao Chadema hawamtaki.... kama unamtaka mchukueni
  15. G

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Hongera Mbunge wa Mahakama Kuu ya Tanzania....
Back
Top Bottom