Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 17,003
- 42,298
Kuna nini cha ajabu? Kuna watanzania elfu ngapi wanafanya kazi za kimataifa? Nafasi kama hiyo siyo za kujisifia maana mara nyingi hutolewa kwa nchi. Kilichompa nafasi hiyo Zito ni nafasi yake ya umwenyekiti wa PAC na siyo uzito wa CV yake. Wanaotaka kuwaaminisha watu kuwa nafasi hiyo ni kitu cha pekee, ni mbumbu. Hawa ni sawa na wale wanaoweza kumpongeza Rais kuwa mwenyekiti wa AU wakati nafasi hiyo ni ya mzunguko na hutolewa kutokana na nafasi yako ya urais na siyo kutokana na uwezo binafsi.
Ukweli utabakia kama ulivyo zitto ni mwanasiasa mwenye leval ya juu hapa africa