Recent content by gairo

  1. G

    Je, Uislam ni kosa la jinai Tanzania?

    Katika kitabu cha uislam, kimetenganisha mabaya na mema, uislam hapendi shiriki, ugaidi , ufisadi na ujambazi lakini aweza kuwa mkristo au mwilsam
  2. G

    Heshima ya CPA holder ma Masters inashuka sana.. Nini kifanyike?

    CPA graduates , lazima kujifunza kazi ya uhasibu, kazi ya uhasibu lazima ujue tangu chini hadi kutengeneza tb, unaweza kutumia package zake lakini wewe lazima ujue dr na cr, kwa hiyo kabla kufikria cheo fikiria uwezo wako wa kazi, nendeni kwenye audit firm , wakufunze halafu omba kazi nzuri
  3. G

    Naona Fahari ya kuwa Mtanzania

    Ni lazima somo la uraia lirudi tena mashuleni ili kila mtu ajuwe thamani ya nchi yake na hakuna popote utaipata na la pili kwa wanaye mjua Mungu lazima wawafundishe watoto wao kuwa wizi, ufisadi nk ni dhambi tangu hapa hata maisha yajao na kwa wale wasiojua neno , serikali itunge adhabu kali...
  4. G

    Baada ya Vladmir Putin kuonesha hasira zake kwa Saudi Arabia mambo yapo hivi...

    Waarabu jiangalieni adui yenu mkubwa alikuwa nani? Na leo mnauana kwa ushia na usuni halafu silaha mnanua kwa nani? EH Mungu wa Ibrahim wanusuru watumwa hawa
  5. G

    Kwanini CCM haiweki pingamizi kwa wagombea wa vyama 10 vilivyojitoa uchaguzi wa marudio Zanzibar

    Kupiga kura ni hiari na kipigiwa kura pia ni hiari, kujitoa kwao pia ni hiari
  6. G

    Dr. Kitine: Ni Ndoto Maalim Seif Kuwa Rais wa Zanzibar

    Wapi kama sio pemba, wapemba hawakubali kuitwa waafrika mpaka leo , mapinduzi yalifanyika unguja sio pemba
  7. G

    Dr. Kitine: Ni Ndoto Maalim Seif Kuwa Rais wa Zanzibar

    Dr kitine hongera kwa kuwaelimisha kwani , serikali iliyopinduliwa waziri mkuu wake ali toka
  8. G

    Tuhuma za Udini dhidi ya Dr. Ramadhani Dau wa NSSF, Ukweli ni upi?

    Mchezo mnaotabiria ni mbaya sana hautakuacha hata wewe unaye shabikia , cheo apewe mtu kwa uwezo wake sio vinginevyo , imefika wakati katiba yetu itamke wazi kwamba , presidential appointment zidhibitishwe na bunge
  9. G

    Magufuli azua Taharuki CUF, wajipanga kimya kimya kushiriki Uchaguzi

    Wawakilishi wa cuf walikopa na wakashinda sasa wasiporejea hayo madeni watalipaje, miashahara ya uwaziri nayo itapotea!
  10. G

    Jecha Salimu Jecha amepata umaarufu sana

    Soma , sheria iliyoiweka hiyo tume, kwa makusudi walitaka wasingiliwe na bara bila kijua kuwa wao kwa wao wanaweza kugombana
  11. G

    Tundu Lissu amenikera kwa kubeza ukusanyaji wa kodi

    Ni haki yake kuongea, lakini haonyeshi hekima kea kuwa anachuki hivyo adui hata akifanya jema vipi hawezi kusifiwa, huyu si ndiye alieanza kukosa heshima kwa Baba wa Taifa
  12. G

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Mhalifu hana cheo au rangi
  13. G

    Mwafrika bila mzungu si chochote

    Akili haifanyi rangi bali tamaduni za kuiga ndiyo zimetufanya tuwe duni,mtoto wa kiafrika akiwa darasa na wazungu atapeta
  14. G

    Uwezo wa kuongea na nafsi ya marehemu au mtu aliye mbali bila uchawi

    Una mapepo asili yake ni ibilisi
  15. G

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    Waafrika ni mataka wa wazungu,waamerika na sasa wachina ,wamekubali ku gumballs wa na kukubali kutotumia akili zao,uongozi Wote wa afrika hucheza ngoma wasioijua,bahati mbaya hata kwenye dini zetu wanatapeli
Back
Top Bottom