Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,896
- 30,234
1954,Nimependa maandiko yako Ndugu yangu, ila unadhani hakuna wana-CUF wanaopenda CUF ishiriki uchaguzi? Au unadhani hakuna wana-CUF wanaoweza kumpigia mgombea wa CCM? Siasa ni mchezo wa ajabu, niliwahi kuona familia moja na ambayo iko katika chama kimoja lakini hawakumpigia mgombea kutoka katika familia yao.
Inawezekana chama kimoja kikawa na wanachama wa fikra
zinazokinzana.
Huu ndiyo uhai wa chama chochote cha siasa.
Lakini tofauti hizi zitakuwa kwenye jambo la akida.
Kurudia uchaguzi si jambo la akida.
Uchaguzi umefanyika na CUF wameshinda.
Haiwezekani chama makini kama CUF wanachama wake
wakarejea nyuma kwani huko kutakuwa ni kusaliti akida.
Wanchama watakachotaka ni kuona kuwa kura zao zinaheshimiwa.