Kwanini CCM haiweki pingamizi kwa wagombea wa vyama 10 vilivyojitoa uchaguzi wa marudio Zanzibar

Noncommited

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
1,125
369
Habari za Jioni wana jamvi!
Ikumbukwe kwamba ccm ni mabingwa wa kuwawekea mapingamizi wagombea wa Vyama vya Upinzani ili wapite bila kupingwa kwa tuhuma mbalimbali kama kukosea kujaza fomu n.k.
Lakini kwa mshangao wangu, uchaguzi huu wa marudio ccm mpaka leo hii bado hawajaweka pingamizi kwa wagombea waliojitoa kulazimishwa na tume kuingia kwenye uchaguzi. Ukizingatia wamekwishamuandikia barua Jecha. Au tuaminishwe kwamba ccm wameanza kugeuka malaika? Au kuna faida gani ccm wanaipata uchaguzi wa marudio wasipoweka mapingamizi?
Maoni yenu wadau
 
Back
Top Bottom